General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list, hiyo ndo sababu itakayofanya nimchague hata kama hatashinda, nitamuongezea asilimia.
Mzee huyu aliona mbali. Hapo alikuwa anaonya watanzania kutotii amri za wana harakati wanaohamasisha vurugu na maandamano kama Lissu na Maalim.
Tumesha sign petition ya Ngurumo, dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Watanzania watakushangaza, huyo kibaraka hata nusu ya kura za Lowassa hatapata. Magufuli tano tena.Lissu anashinda Mkuu
Watanzania watakushangaza, huyo kibaraka hata nusu ya kura za lowasa hata pata. Magufuli tano tena.
Hapo itakuwa unapost toka Oman sio bure.Wandugu tukapige kura kwa wingi. Tuvunje muungano Watanganyika tunanyonywa sana, tunaonewa sana , tunahudumia sana. Tumechoka. Muungano basi hivyo visiwa vikabidhiwe kwa mfalme Oman au Dubai sijui. Our hands are tied! Enough is enough.
Kaka, siku hizi uko chadema?Eti jina la Magufuli ndo la kwanza na la Lissu ndo la mwisho!
Mambo ya kitoto sana.
Hapo itakuwa unapost toka Oman sio bure.
AMKAWandugu tukapige kura kwa wingi. Tuvunje muungano Watanganyika tunanyonywa sana, tunaonewa sana , tunahudumia sana. Tumechoka. Muungano basi hivyo visiwa vikabidhiwe kwa mfalme Oman au Dubai sijui. Our hands are tied! Enough is enough.
Kweli kabisa mwalimu nyerere alizungumza jambo linalotikea nyakati zetu sasa. Lakini hata yeye kwenye uongozi wake alikua akiogopeka sana! sijajua kama aliwahi kuwaambia wananchi wasiwe wanamuogopa.
Tumia VPN CCM walishafanya yao.Mbona Twitter haipatikani toka Jana jamani au ni kwangu tu?
Kama walikuwa wanamshangaa kinachowafanya mzime mitandao nini.Tukajue aliokua watu wanakwenda kumshangaa sio kumsikiliza
Bora wangemuweka Lissu katikati ndio ingewachanya watu, walivyomuweka mwisho ndio wameturahisishia, huangaiki kumtafuta, unaenda mwisho moja kwa moja una tickWa kwanza atakuwa wa mwisho.....