Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Mbona Twitter haipatikani toka Jana jamani au ni kwangu tu?
 
Mvua kwa mbali, inakunya hapa. Ila tunaubiri milango ifunguliwe, tukafanye yetu
 
Wandugu tukapige kura kwa wingi. Tuvunje muungano Watanganyika tunanyonywa sana, tunaonewa sana , tunahudumia sana. Tumechoka. Muungano basi hivyo visiwa vikabidhiwe kwa mfalme Oman au Dubai sijui. Our hands are tied! Enough is enough.
AMKA

umelala bado
 
Back
Top Bottom