Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Jana nikiwa mtaani kwetu niliwahoji baadhi ya vijana juu ya utayari wao kupiga kura, wengi wao walijibu kuwa hawako tayari kwa sababu mshindi anapangwa na hakuna haki kwenye uchaguzi. Leo nimepita mtaani wengi wao wako vijiweni na hawajaenda kupiga kura.

Baadhi ya wazee (50+ years) wao walionesha utayari, na kwa wale ambao majina yao hayakuwepo kwenye daftari la wapiga kura walionesha kusikitishwa sana.

Ktk makurdi haya kuna wenye kujua haki yao na huenda wako informed ama la! Na kundi lingine linajua haki yao ila kutokana na kuwa active kufuatilia media wanaona ni ujinga kukimbizana na upepo!!

Sasa leo hii ninapoona ama kusikia yale ya uchaguzi wa serikali za mitaa yakijirudia....na uwepo wa vituo hewa na kura wizi...najiuliza je vijana wako sahihi? Yafaa kuwaunga mkono hadi kuwe na tume huru na katiba mpya?
 
Tena kama bodaboda wanamchinja Lissu mapemaaa.. Maana wanampenda sana JPM kawapa uhuru wa kupiga hela hadi katikati ya miji
Labda wa Chato[emoji41], Ila kama wanetu wa Dizonga, Ara, Green city hao wanajua mtu wao Lissu
 
-
#UpdatesUchaguzi

Kituo cha kupigia kura ofisi ya kijiji cha Mungushi, jimbo la Hai, wananchi wamefika saa 1 asubuhi lakini hakukuwa na karatasi za kupiga kura. Wamesubiri hadi saa 3 ndipo karatasi zikaletwa...
Ole Sabaya....Mungu amuone sawasawa na mate matendo yake
 
Wakuu salamu kwenu

Sijaweza kuona picha za mheshimiwa rais mtarajiwa akipiga kura. Ningependa kujua iwapo ameweza.
Picha
20201028_163311.jpeg
 
Uchaguzi wa 2015 idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo kuliko hii, na vituo vingi pia, lakini mpaka kufika mchana hivi mistari ilikuwa mingi. Siongei hili kwa kubahatisha. Watu wameacha kupiga kura maana wamechoka kugeuzwa mandondocha.

Na kwa taarifa yako kupiga kura ni njia ya kistaarabu kupita viongozi wenye uhalali wa wengi. Unapooanza kuwa na viongozi wanaoingia bila ridhaa ya wengi kwa sababu ya hujuma sio sifa. Hujaonekana hujui madhara ya kuwa na viongozi wasio na uhalali wa umma.
Mkuu this time watu wengi wanaangalia taarifazao majumbani kwenye simu kabisa, ukifika kituoni huna haja ya kupoteza muda kuanza kutafuta jina iliujue jinalako lipo kwenye qub namba ngapi.

Huo mfumo umerahisisha mchakato wa upigaji kura ndio mana watu wanaweza kwenda na kuondoka mapema kwasababu hakuna ucheleweshaji ambao unasababisha misururu ya watu katika vituo.

Hataivyo wabongo baadhi wanapenda kushangilia mikusanyiko kuliko kupiga kura na wanaona kawaidatu, tuponao huku mitaani tunayaona hayo.

Hawana sababu kama unazosema kuhusu ulaghai ama vyovyote hawataki tu.
Hata ukijaribu kuuliza wanaongea mambo yasiyo eleweka.

Mtu akisema haendi sababu eti kura zitaibwa huo ni udhaifu.

Kinachotakiwa ni kwenda kupiga kura kwa wingi kadiri itakavyo wezekana na hiyo ndio njia pekee ya kuondoa uongozi ambao unahisi haufai.

Kususia kura ni kupoteza muda bure.
 
Narudia tena, kama kigezo ni hicho, mbona mtiririko sio huo kwa nafasi za ubunge na udiwani? Maana huko kurudisha kulitofautiana pia. Lisu hahitaji upendeleo wowote bali Magufuli ndio anahitaji upendeleo. Utaratibu wa mpangilio ni alphabetical order,. Sio huo uhuni wa kitoto.
Yaani hujui kuwa walipokuwa wakirudisha fomu majina yao yalikuwa yakiandiwka kwenye daftari la wagombea na list hiyo ndiyo imetumika kwenye ballot? Ulitaka iwe alphabetical kwa msingi gani, jina la kwanza, surname au jina la chama?
 
Aisee mimi ni CCM damu damu....Nitamshangaa mwanaccm atakayediriki kujivunia ushindi wa ghiliba.

Mungu atukuhukumu sawa na matendo yetu
Ficha Upumbavu wako
Dili na Hao Vibendera wako
 
Yaani hujui kuwa walipokuwa wakirudisha fomu majina yao yalikuwa yakiandiwka kwenye daftari la wagombea na list hiyo ndiyo imetumika kwenye ballot? Ulitaka iwe alphabetical kwa msingi gani, jina la kwanza, surname au jina la chama?
Kwani hujaona Zanzibar walichofanya au unajitoa tu ufahamu mzee? Alphabetical order kwa maana ya majina ya vyama husika sio majina ya wagombea kama ilivofanyika chaguzi zote za nyuma.
 
Alikuwepo Jitu la miraba minne jina lake ni Farao aliitawala Misri pamoja na wana wa Israel lakini mwisho wake ulifika,nasema hivi ccm mwisho wenu umefika na mwisho wenu ni mbaya sana tena mmegeukana wenyewe kwa wenyewe.
 
Back
Top Bottom