Amazon Woman
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 796
- 1,187
Jah bless MafueNipo Lyamungo sinde, Machame hapa kituoni, Mtifuano ni F. A. Mbowe na Saasicha Mafue. Nafikiri mtifuna huu mpaka saa 6 mchana utakuwa umefahamika muelekeo wake.
Hao waliopiga kura tarehe 27/10/2020 wengi wao sio wazanzibari.Kwani Ni Mzazibari???
NdioYe ni mtu maalum?
Huu ni Ujinga na hizi ni dalili za mtu kukata Tamaa!!
Taratibu Mkuu.Askofu boksi tumeshakula kichwa kawwe
Labda wa Chato[emoji41], Ila kama wanetu wa Dizonga, Ara, Green city hao wanajua mtu wao LissuTena kama bodaboda wanamchinja Lissu mapemaaa.. Maana wanampenda sana JPM kawapa uhuru wa kupiga hela hadi katikati ya miji
Ole Sabaya....Mungu amuone sawasawa na mate matendo yake-
#UpdatesUchaguzi
Kituo cha kupigia kura ofisi ya kijiji cha Mungushi, jimbo la Hai, wananchi wamefika saa 1 asubuhi lakini hakukuwa na karatasi za kupiga kura. Wamesubiri hadi saa 3 ndipo karatasi zikaletwa...
PichaWakuu salamu kwenu
Sijaweza kuona picha za mheshimiwa rais mtarajiwa akipiga kura. Ningependa kujua iwapo ameweza.
tulivosema Chadema mtashindwa vibaya sana na kwa aibu hamkuamini.
Now ni visingizio tu. Watanzania muda huu wanabet na kujadili Mechi za UEFA
Mi NAHISI HATA LISSU NI CCM MAANA HAYA MAMBO YA UCHAGUZI HAYA WANATUPUMBAZA TU HAHAHAHAHHA MAGU TANO TENA
Mkuu this time watu wengi wanaangalia taarifazao majumbani kwenye simu kabisa, ukifika kituoni huna haja ya kupoteza muda kuanza kutafuta jina iliujue jinalako lipo kwenye qub namba ngapi.Uchaguzi wa 2015 idadi ya wapiga kura ilikuwa ndogo kuliko hii, na vituo vingi pia, lakini mpaka kufika mchana hivi mistari ilikuwa mingi. Siongei hili kwa kubahatisha. Watu wameacha kupiga kura maana wamechoka kugeuzwa mandondocha.
Na kwa taarifa yako kupiga kura ni njia ya kistaarabu kupita viongozi wenye uhalali wa wengi. Unapooanza kuwa na viongozi wanaoingia bila ridhaa ya wengi kwa sababu ya hujuma sio sifa. Hujaonekana hujui madhara ya kuwa na viongozi wasio na uhalali wa umma.
Yaani hujui kuwa walipokuwa wakirudisha fomu majina yao yalikuwa yakiandiwka kwenye daftari la wagombea na list hiyo ndiyo imetumika kwenye ballot? Ulitaka iwe alphabetical kwa msingi gani, jina la kwanza, surname au jina la chama?Narudia tena, kama kigezo ni hicho, mbona mtiririko sio huo kwa nafasi za ubunge na udiwani? Maana huko kurudisha kulitofautiana pia. Lisu hahitaji upendeleo wowote bali Magufuli ndio anahitaji upendeleo. Utaratibu wa mpangilio ni alphabetical order,. Sio huo uhuni wa kitoto.
Ficha Upumbavu wakoAisee mimi ni CCM damu damu....Nitamshangaa mwanaccm atakayediriki kujivunia ushindi wa ghiliba.
Mungu atukuhukumu sawa na matendo yetu
Kwani hujaona Zanzibar walichofanya au unajitoa tu ufahamu mzee? Alphabetical order kwa maana ya majina ya vyama husika sio majina ya wagombea kama ilivofanyika chaguzi zote za nyuma.Yaani hujui kuwa walipokuwa wakirudisha fomu majina yao yalikuwa yakiandiwka kwenye daftari la wagombea na list hiyo ndiyo imetumika kwenye ballot? Ulitaka iwe alphabetical kwa msingi gani, jina la kwanza, surname au jina la chama?