Hawa watu ni Vilaza wakupindukia
Kutwa kudanganyana humu
Na ujinga wao
Kichapo kipo pale pale
 
Hi i unaamini ulichoandika au ni frustration tu? Ulikuwa unategemea free and fair election? Wakati toka 95 ni michezo ile ile. Rudini kwenye uhalisia tokeni kwenye ndoto.
 
Wakuu nadhani wote tumeshuhudia sarakasi za kuhakikisha chama Tawala kinatengeneza mazingira ya kuhakikisha kila jimbo linanyakuliwa na chama tawala.

Angalia kuzuia mikutano kwa miaka mitano huku watawala wakipeta, kesi ya kupinga wakurugenzi kusimamia uchauguzi, wabunge kupita bila kupingwa, kauli za utata za NEC, upinzani kuadhibiwa kwa kusimamishwa siku 7, polisi kusumbua mikutano ya wapinzani, mabango nchi nzima, vyombo vya habari kugeuka kuwa media za chama Tawala huku zikiogopa kuripoti taarifa za upinzani.

Ni wazi serikali imeridhia wabunge wote nchi hii wawe wanatoka CCM na hofu yangu zaidi inakuja kutokana na kauli ya jiwe kuwa wakurugenzi awateue na wamtangaze mpinzani na usisahau mission yao ilianza tangu kuanza kupitisha wabunge bila kupingwa.

Hofu yangu kuna uwezekano uchaguzi huu wabunge wa upinzani wasifike hata kumi kama sio watano, ngoja tushuhudie picha kamili.
 
Huu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm wameuvuruga uchaguzi huu...
Mfa maji hakosi kutapatapa. Mnalialia hata kabla ya kura kuhesabiwa. Unaeleza uchaguzi umearibiwa bila kueleza how na kwa ushahidi upi. Subirini uone chague la watanzania
 
Mpumbavu ni wewe unayebebwa ushabiki wa kizwazwa.

Nimekulia CCM tangu enzi za tanu...wewe umezaliwa 1990s unaleta nyenyee hapa
Tunawaita Vilaza kwa sababu mojawapo kama hiyo Kuhisia kila mtu ni Lika lako
Mmejawa na Ujinga ulio pitiliza
Mtoto wangu Wapili tu hajazaliwa hiyo miaka ya 90
Hahaha Muwe mnaficha Upumbavu wenu walau kidogo
Mmejawa na Ukibendera sana Yaani Kujiona wajuaji kisa Eti unaishabikia Chadema hovyo kabisa
 
Mambo yaliyojitokeza huku segerea yanasikitisha, zile mashine za kutengenezea vitambulisho vya kura zilibakia ofisi za kata leo hii zimetumika kusajili wanachama hewa ambao sio wakazi wa jimbo hili kisha ccm imefanyia njama kwa kuwapitisha kinyemela wawapigie kura
 
Reactions: KGM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…