MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Hawa watu ni Vilaza wakupindukiaTuacheni propaganda za kutafuta scapegoats za kushindwa na kuchafua jina la nchi kwa sababu za kipuuzi. Nashindwa kuelewa chama kisichokuwa na grassroots kudai kuwa kinaibiwa kura! Mwaka 1995 mimi nikiwa NCCR-mageuzi tulihamasika sana pale Dar tukajua Mrema atachukua nchi, lakini tukasahau kuwa tulikuwa maarufu Dara na miji michache tu kwani hatukuwa na network kuzunguka nchi yote. CHADEMA imerudia makosa hayo ya kudhani kuwa ushabiki wa kwenye mitandao ndio kura za nchi nzima; ng'o!
Kutwa kudanganyana humu
Na ujinga wao
Kichapo kipo pale pale