Huku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,Watasema mmeiba !!!
Nmefurahi Sana hakika, ujuaji na matusi kwisha habari yake!Watanzania wanajitambua
Siyo watu hao!JK baba wa watu walimdhalilisha sana na kumuita kila aina ya majina mabaya wakati alikuwa anawakaribisha mpaka ikulu kwa mazungumzo na kunywa kahawa pamoja.
Lala basi maana hata hiyo CCM unayoishabikia haikujui wala haikusaidii kwa lolote lile unapiga kelele wakati sisi wenye CCM tumerelax tunakunywa mvinyo wewe na vocha yako ya Jero unapayuka payuka unatuaibisha na kelele zako lala kesho matokeo halali yatafahamika acha niendelee kupata wine yanguHuku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,
Lissu hatapata hata 40% ya kura nchini, wanajua washakula viberiti sasahivi wako bize kulalamika.
Trend ipi mataga ya kuwatoa mawakala kwa nguvu?Broo kwa trend iliyopo, Bora hata Lowassa alileta ushindani, huyu Mbelgiji watu hawana habari naye.
Aache harakati, afanye siasa, vitisho vya the Hague havitamsaidia chochote!
Teh teh unafurahia CCM kujigawia kura yenyewe we jamaa kichwa maji kweli yani kituo hakina wakala afu unaka kusifia.Nmefurahi Sana hakika, ujuaji na matusi kwisha habari yake!
Mlisema mwaka huu sasa basi. Mbona mmeanza kulialia tena?Trend ipi mataga ya kuwatoa mawakala kwa nguvu?
Wapi nimelia?Mlisema mwaka huu sasa basi. Mbona mmeanza kulialia tena?
Hamkosagi visingizio ila ndo hivyo hatumtaki huyo tarishi wa Brussels!Teh teh unafurahia CCM kujigawia kura yenyewe we jamaa kichwa maji kweli yani kituo hakina wakala afu unaka kusifia.
Atapata vipi Katiba mpya wakata bungeni majority ni kijani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado sana. 2025 Lissu atakuwa ame-mature kidogo, pengine kutulia kidogo kwa kuachana na matusi na utopolo wa akina Amsterdam. Pia atakuwa amepona vizuri majeraha yake kimwili na kisaikolojia. Na wakiwa wamefanikiwa kupata katiba mpya pengine anaweza kushinda akigombea tena. Kwa sasa waridhike tu na kula pesa ya ruzuku...
Amsterdam sijui mtambebea mbeleko gani. White paper zitaanza kumiminika kama mvua...Huku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,
Lissu hatapata hata 40% ya kura nchini, wanajua washakula viberiti sasahivi wako bize kulalamika.
Tulia Wewe CCM unaijua wewe au kwenye NATO unawajua au wanaofaidi unawajua acha kutisha watuI repeat CCM unayoishabikia haikujui wala haikusaidii kwa lolote lile unapiga kelele wakati sisi wenye CCM tunakuchora na ndio tunaofaidi na life hii wewe lala pia sibishani na maskini wakati nina uwezo na life hii
ππ€£ππ€£ππππ€£πππππππ€£ππππππππ€£π€£π€£ Yupo tweeter hukooo Anapovukaaaa hahahaAmsterdam sijui mtambebea mbeleko gani. White paper zitaanza kumiminika kama mvua...
Those are just pieces of dungs, they can't stop Tanzania to exist!Amsterdam sijui mtambebea mbeleko gani. White paper zitaanza kumiminika kama mvua...
Halafu mkulu atawarudia tu huwa haniangushi hapoKale kaaskofu feki na kale kashekhe feki sijui wataficha wapi sura zao.
Acha uongo, kila sehem uizi uizi tu.Huku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,
Lissu hatapata hata 40% ya kura nchini, wanajua washakula viberiti sasahivi wako bize kulalamika.
Ngoja nimsaidie kidogo. Ili apate majority akiisha teua baraza la mawaziri anakaa nalo kama wiki au mwezi mmoja, kasha anavunja baraza la mawaziri na bunge.Atapata vipi Katiba mpya wakata bungeni majority ni kijani.