Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Huku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,

Lissu hatapata hata 40% ya kura nchini, wanajua washakula viberiti sasahivi wako bize kulalamika.
Lala basi maana hata hiyo CCM unayoishabikia haikujui wala haikusaidii kwa lolote lile unapiga kelele wakati sisi wenye CCM tumerelax tunakunywa mvinyo wewe na vocha yako ya Jero unapayuka payuka unatuaibisha na kelele zako lala kesho matokeo halali yatafahamika acha niendelee kupata wine yangu
 
Broo kwa trend iliyopo, Bora hata Lowassa alileta ushindani, huyu Mbelgiji watu hawana habari naye.

Aache harakati, afanye siasa, vitisho vya the Hague havitamsaidia chochote!
Trend ipi mataga ya kuwatoa mawakala kwa nguvu?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado sana. 2025 Lissu atakuwa ame-mature kidogo, pengine kutulia kidogo kwa kuachana na matusi na utopolo wa akina Amsterdam. Pia atakuwa amepona vizuri majeraha yake kimwili na kisaikolojia. Na wakiwa wamefanikiwa kupata katiba mpya pengine anaweza kushinda akigombea tena. Kwa sasa waridhike tu na kula pesa ya ruzuku...
Atapata vipi Katiba mpya wakata bungeni majority ni kijani.
 
Huku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,

Lissu hatapata hata 40% ya kura nchini, wanajua washakula viberiti sasahivi wako bize kulalamika.
Amsterdam sijui mtambebea mbeleko gani. White paper zitaanza kumiminika kama mvua...
 
I repeat CCM unayoishabikia haikujui wala haikusaidii kwa lolote lile unapiga kelele wakati sisi wenye CCM tunakuchora na ndio tunaofaidi na life hii wewe lala pia sibishani na maskini wakati nina uwezo na life hii
Tulia Wewe CCM unaijua wewe au kwenye NATO unawajua au wanaofaidi unawajua acha kutisha watu
 
Hiyo katiba mpya Chadema watadai mara ngapi? Si walidai katiba mpya awamu ya nne na Kikwete akawa hana jinsi bali kukubali madai ya Chadema, au umesahau?

Kikwete kwa nia mbaya sana akawateua wajuumbe wengi toka maccm kwa kudhani kwamba wale wajumbe wa maccm akina SAS, Warioba na wengine wakaamua kuuweka pembeni uccm wao na kuutanguliza Utanzania na kuja na rasimu nzuri sana kwa ajili ya maandalizi ya katiba mpya? Kikwete baada ya kuisoma rasimu ile na baadhi ya maccm wakamwambia hii ndiyo ikiwa katiba basi ccm haitashinda tena Urais na kuanza kumtisha kwamba kama ataipigia debe basi wataanika maovu yake ya kuingia madarakani kwa pesa za mafisadi 2005 kupitia kundi lao waliloliita mtandao? Umesahau?

Ndipo Kikwete alienda Bungeni na kupiga vijembe rasimu ile huku akiwanyang’anya magari SUV waliopewa Wajumbe wale huku wakiwa hawajamaliza kazi zao. Kwani utaratibu ulikuwa wale wajumbe waendelee kuwepo wakati wote wa Bunge la Katiba ili kwenye vipengele vyovyote ambavyo Wabunge wa Katiba wangekuwa hawajavielewa watoe ufafanuzi.

Bunge la katiba likawa ba matatizo makubwa kwani katika Bunge lile wao walikuwa ni minority na ccm majority walishadhamiria ile rasimu ni kaburi lao la kisiasa hivyo ni lazima waibadilishe kwa kiwango cha juu kabisa na hili likaleta mzozo mkubwa hadi kundi la UKAWA baada ya hotuba ya maccm kuwa ni MAINTERAHAMWE kuamua kutoka ndani ya Bunge lile. Umesahau?

Huu ujinga wa kutumia billions za walipa kodi kisha kile kilichokusudiwa kupatikana kwa maslahi makubwa ya Tanzania na Watanzania utaisha lini?

Vipi ahadi ya huyo anayejiita MWENDAWAZIMU 2016 baada ya kuingia madarakani kwamba Kikwete kauacha mchakato wa katiba mpya mahali pazuri na yeye ataundeleza kwa maslahi ya Watanzania iliishia wapi? Umesahau yote haya? [emoji15][emoji15][emoji15]


 
Huku broo, hakuna hata aliyeiba, mawakala wao wapo macho, lakini spana zimewaadhibu,

Lissu hatapata hata 40% ya kura nchini, wanajua washakula viberiti sasahivi wako bize kulalamika.
Acha uongo, kila sehem uizi uizi tu.
Sema hata maradona alishangilia sana goli la mkono.
 
Atapata vipi Katiba mpya wakata bungeni majority ni kijani.
Ngoja nimsaidie kidogo. Ili apate majority akiisha teua baraza la mawaziri anakaa nalo kama wiki au mwezi mmoja, kasha anavunja baraza la mawaziri na bunge.

Akivunja Bunge tunarudia uchaguzi wa wabunge kasoro wa Rais. Hapo anapata majority na anasonga mbele.
 
Back
Top Bottom