Kusema ukweli kumtoa rais alie madarakani Ni jambo ngumu kidogo.

Walao ile 2015 ndio tungeweza kuzungumza hivi, lau tusubiri hio 2025 labda tunaweza kuongea lugha hii.

Muhimu mliojaliwa kupiga kura nendeni mkapige kura huku Mungu akiwa ndie mwongozo maana bila Mungu hakifanyiki chochote kilicho sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule chizi kuadi wa mabeberu anagalagazwa ile mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afadhali amalize zamu yake aende ili chadema ijipange upya for 2025.
Majibu yapo hapo chini kwa general Mangi
 
Ok mpaka sasa umetuletea YATAKAYOJIRI na sio YALIYOJIRI.
 
Leo ni siku muhimu ya kuchagua viongozi wetu kila la kheri. Donald Ndagula MWANACHAMA MTIIFU WA CCM
 
Nipo macho toka saa saba..Nimelala kwa masaa mawili tuu na kushtuka..Ikifika saa kumi na nusu natoka kuelekea kituoni. Tukapige kura na kuzilinda. Nitakuwa nawapatia updates moja mbili nikipata nafasi.
Usilinde kura. Mawakala wapo.
 
Kulingana na post ya Freeman Mbowe insta, yupo katika hali ya hatari sana Sabaya na Ocd wa hai wanaongoza genge la uharifu dhidi yake sijui wanataka kumteka.
 
Hongera Rais Magufuli na CCM kwa ushindi huu. Tunawatakia miaka 5 mingine ya mafaniko zaidi hapa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…