Arvin sloane
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 996
- 204
Nipo hapa kituoni nataka kumkata Tundu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajua mtaiba, kilichofanya mzime mitandao ni nini, mnajiamini mtashinda why mzime mawasiliano.Watanzania watakushangaza, huyo kibaraka hata nusu ya kura za lowasa hata pata. Magufuli tano tena.
Majibu yapo hapo chini kwa general MangiYule chizi kuadi wa mabeberu anagalagazwa ile mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afadhali amalize zamu yake aende ili chadema ijipange upya for 2025.
Hakika wakati tuliokuwa tunausubiria umefika.
Sasa Magufuli siku ya leo asitegemee maelekezo yake yatasikilizwa tena.
Tulimheshimu huko nyuma kama Rais.
Cha muhimu, walio karibu nae wahakikishe afya yake, na wanasaikolojia wamuandae kisaikolojia kuwa Lissu ndie atakae shinda na kutangazwa.
Salamu kwako Pascal Mayalla
Tuanze na hiyo ya kwanza tuwashinde hawa ma CCM kwa Kishindo halafu mengine tutajuana mbele ya safari.Tanzanian kuna kushinda uchaguzi na kutangazwa mshindi wa uchaguzi. Ni vitu viwili tofauti.
Tumia VPN, JF hawaiwezi wamejipanga walijifunza.Mitandao itakuwa inapatikana? Maana hii JF yenyewe lazima uisearch haiji moja Kwa moja.
Ungelikuwa wewe ndiye unajukumu la kupangilia majina ya wagombea ungefanya vipi?Eti jina la Magufuli ndo la kwanza na la Lissu ndo la mwisho!
Mambo ya kitoto sana.
True. Usipolinda utayajulia wapi Hali wamezima internet naKwa hasira kabisa naenda kupiga kura na kuilinda adi matokeo yatangazwe
Usilinde kura. Mawakala wapo.Nipo macho toka saa saba..Nimelala kwa masaa mawili tuu na kushtuka..Ikifika saa kumi na nusu natoka kuelekea kituoni. Tukapige kura na kuzilinda. Nitakuwa nawapatia updates moja mbili nikipata nafasi.
Papushikashi wewe ni mjumbe, kwa kweli ni mtu mbaya sana wewe. Nimefanya kama ulivyosema nimekamatwa na polisi, niko hapa Oyster Bay kituoni.Namna ya kuangalia kituo chako Cha kupigia kura
Bonyeza
*152*00#
Kisha 9
Halafu 1