Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Kusema ukweli kumtoa rais alie madarakani Ni jambo ngumu kidogo.

Walao ile 2015 ndio tungeweza kuzungumza hivi, lau tusubiri hio 2025 labda tunaweza kuongea lugha hii.

Muhimu mliojaliwa kupiga kura nendeni mkapige kura huku Mungu akiwa ndie mwongozo maana bila Mungu hakifanyiki chochote kilicho sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule chizi kuadi wa mabeberu anagalagazwa ile mbaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Afadhali amalize zamu yake aende ili chadema ijipange upya for 2025.
Majibu yapo hapo chini kwa general Mangi
Hakika wakati tuliokuwa tunausubiria umefika.
Sasa Magufuli siku ya leo asitegemee maelekezo yake yatasikilizwa tena.
Tulimheshimu huko nyuma kama Rais.

Cha muhimu, walio karibu nae wahakikishe afya yake, na wanasaikolojia wamuandae kisaikolojia kuwa Lissu ndie atakae shinda na kutangazwa.

Salamu kwako Pascal Mayalla
 
Ok mpaka sasa umetuletea YATAKAYOJIRI na sio YALIYOJIRI.
 
Leo ni siku muhimu ya kuchagua viongozi wetu kila la kheri. Donald Ndagula MWANACHAMA MTIIFU WA CCM
 
Kwa hasira kabisa naenda kupiga kura na kuilinda adi matokeo yatangazwe
True. Usipolinda utayajulia wapi Hali wamezima internet na
 

Attachments

  • FB_IMG_1603826554379.jpg
    FB_IMG_1603826554379.jpg
    29.3 KB · Views: 2
Nipo macho toka saa saba..Nimelala kwa masaa mawili tuu na kushtuka..Ikifika saa kumi na nusu natoka kuelekea kituoni. Tukapige kura na kuzilinda. Nitakuwa nawapatia updates moja mbili nikipata nafasi.
Usilinde kura. Mawakala wapo.
 
Kulingana na post ya Freeman Mbowe insta, yupo katika hali ya hatari sana Sabaya na Ocd wa hai wanaongoza genge la uharifu dhidi yake sijui wanataka kumteka.
 
Hongera Rais Magufuli na CCM kwa ushindi huu. Tunawatakia miaka 5 mingine ya mafaniko zaidi hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom