Madhara ya uchache wa wapiga kura ni yapi?.Natamani sana kujua tafadhali
Nmeona watu wengi wanaongea sana kuhusu idadi ya watu kupungua, ntolee mfano eneo nilipo. Miaka ya nyuma kituo cha kupigia kura mtaa mzima (mtaa ni mkubwa of course) kilikuw kimoja tu, watu walipanga foleni ndefu sana.

Ila uchaguzi huu kwa mtaa wangu huu tu vituo vimeongezwa hadi kuwa vinne na watu wametawanywa. Kwa mantiki hiyo lazima tuone watu ni wachache. Idadi ya vituo vya kupigia kura kitaifa viliongezwa karibu 20000, tusikariri mambo ya 2015
 
Bashiru alisema Shuka kwa Shuka kitanda kwa kitanda mkamuona mjinga haya sasa.

CCM Ubunge Tanzania Bara imeongoza karibu majimbo Yote.
CDM wasipobadilika 2020 ndio mwisho wao acheni ujuaji
 
Nmekaa ofisini mtu anaaga chapu kwenda kupiga kura, anasema wazi hawezi kuacha kumpigia kura mtu anaefanya apate ugali, japo anauhakika ata ye asipoenda uwekano wa ushindi ni mkubwa
 
Kwa mwenye UFINYU wa akili tu huku mkifumbia macho UNAFIKI wa kutisha ndani ya maccm.

Ishu ni upunguze jazba ndugu, izo kitu unaupload mi sioni kitu uku. Kiufupi picha na video kwangu havifunguki kabisa labda kwa hao wenye VPN
 
UFINYU wa akili unakusumbua siku ukitia akili kichwani labda UTAELEWA.

Npo vizuri sana upstairs, kuwa tofauti ki mtizamo na wewe sio ufinyu wa akili ni demokrasia unayoitamani kila siku. Punguza makasiriko, kuna majukumu mengine inabidi yafanyike kukikucha.
 
MUNGU SI ATHUMANI, KIKUBWA NI PUMZI NA MAADAMU ANAYEITOA NI MUNGU YAKWETU MACHO KUANGALIA KINACHOENDELEA BAADA YA USHINDI MLIONAO

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Chama hakina viongozi serikali za mitaa, wabunge almost wote sjui wamenunuliwa , sjui wamejiudhulu chama kimeingia kwenye uchaguz hakipo organized kabisa , most of the time Lissu amefight alone , Mbowe hakuonekana kbisa jukwaan, sio mnyika na sio msigwa wote wapo kivyao unawezaje kushinda dhidi ya adui ambaye yupo well organized from the scratch?

Kuingiza watu barabani itawaletea Tu aibu kubwa na kushindwa vibaya Sana pale raia watakapowagomea. Kwanza most of people hawakuwa aware kabisa na maswala ya siasa kama tulivyokuwa tunaaminishwa humu, Jana Tu watu walikuwa busy na mahangaiko ya Maisha.
 
Huu ukweli mchungu Kuna watu umewaponya kjnamna fulani
 
Sie tukisema wakikuwa wanasema hoo,, Lisu anajitosheleza
 
Bashiru alisema Shuka kwa Shuka kitanda kwa kitanda mkamuona mjinga haya sasa.

CCM Ubunge Tanzania Bara imeongoza karibu majimbo Yote.
CDM wasipobadilika 2020 ndio mwisho wao acheni ujuaji
Magu alipopiga magoti kule Njombe wakamtukana na hadi beberu wao Amsterdam akamtukana.

Sasa wanavuna walichopanda
 
Niko naangalia TBC1 hapa, nimecheka hili igizo, eti waziri naye kapanga mstari na mkewe wanasubiri wapige kura! Hivi karne hii wanamdanganya nani wakati kila siku huwa tunasimamishwa barabarani zaidi ya masaa mawili kusubiri wapite?
Katika awamu hii, waziri na RAIA wote wana haki sawa, anapaswa kupanga foleni, labda wapiga kura mumpe hiyo heshima ya kumpisha. Huo ndio ustaarabu wa watanzania chini ya utawala wa JPM. Kumbuka Mama yule aliyemfokea traffic barabarani jinsi alivyotaka kugharimu uwaziri wa mmewe.
 
Bashiru alisema Shuka kwa Shuka kitanda kwa kitanda mkamuona mjinga haya sasa.

CCM Ubunge Tanzania Bara imeongoza karibu majimbo Yote.
CDM wasipobadilika 2020 ndio mwisho wao acheni ujuaji
Afu unafurahia.... sisi CCM wenyewe tumeona ngoma sio fair. yaani kuwa na wabunge 100%kutoka bara unafurahia kweli. kweli tunatofautiana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…