mungita
Member
- Mar 8, 2017
- 63
- 39
Nmeona watu wengi wanaongea sana kuhusu idadi ya watu kupungua, ntolee mfano eneo nilipo. Miaka ya nyuma kituo cha kupigia kura mtaa mzima (mtaa ni mkubwa of course) kilikuw kimoja tu, watu walipanga foleni ndefu sana.Madhara ya uchache wa wapiga kura ni yapi?.Natamani sana kujua tafadhali
Ila uchaguzi huu kwa mtaa wangu huu tu vituo vimeongezwa hadi kuwa vinne na watu wametawanywa. Kwa mantiki hiyo lazima tuone watu ni wachache. Idadi ya vituo vya kupigia kura kitaifa viliongezwa karibu 20000, tusikariri mambo ya 2015