Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wanahamu ya kumpakua aondoke mapema khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Tanzania mtu yeyote akitaka si anaivuruga tu au hujui hili?
 
Lissu atulie tu na yeye. Hana lolote la kutuambia.
Wale watakaobahatika kupata zile ajira 13,000 za ualimu wanayo sababu ya kumkumbuka Lissu. Bila Lissu zile ajira zisingetangazwa, kuna mengine mengi ambayo upinzani wametusaidia kujua sisi kama wananchi wa kawaida.

Wewe huna historia ya shida tangu unazaliwa unakuta baba yako ni mwanasiasa ana fedha, yote unayoshangilia hapa hakuna madhara yatakayokugusa kwenye maisha yako, wala hutegemei kusomesha mwanao shule ya Kayumba.

Tabu wanayo ndugu zetu wanaoshangilia kufuata upepo[emoji23][emoji23]
 
Maendeleo ya CHADEMA yatatokana Na kauli ya chama baada kutambua kushindwa. kulaumu tu haijengi chama. pia kushauri maandamano au kupinga pinga haitasaidia kwa level hii. Mje Na kauli ya matumaini. tutulie tuwaache waliopewa nafasi wafanye yao. Anza kujenga chama Na elimu kwa Raia hiyo pigania kwa akili kubwa.
 
Atoe amri makamanda tuingie barabarani Ila atupe na maelezo ya hospital tukishaumia tukatibiwe bure na yeye asibaki nyuma tuwe nae bega kwa bega mpaka kieleweke hadi kura zitoshe kumpeleka chamwino ikulu
Mkuu, alishasema msisubiri tamko lolote kutoka kwake ama Kwa M/kiti chama
 
Donald Trump hali tete watu washaanza kupiga kura huko, Europe baridi limemrudisha COVID uchumi wao unasuasua watu waache kuangaika na matatizo yao wamsikilize mgombea ambae walijua awezi shinda.
 
Kitu pekee ambacho simkubali Lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Kwani akiipondea Kuna shida gani?
 
Tundu Lissu piga spana mabeberu watume drone mbili tu, kumng'oa huyu jamaa.

Hata wizi wa kura sio huu, jimboni watu wmejindikisha kupiga kura 125,000 kura zimepigwa 400,000.
Tulishawazoea hata hivyo...
Ulitegemea mufa na maji asi tapetape?
 
Kitu pekee ambacho simkubali Lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Mzalendo hawezi kununua ndege na kuzifungia kwenye banda ili zitage!
 
Kitendo cha tume kuzuia mawakala kuingia vituoni, na wale walioingia kukamatwa na polis sio sawa.
 
Kitu pekee ambacho simkubali Lissu ni kua hana uzalendo, japo ameumizwa anajaribu kufanya maumivu yake kua ya nchi nzima.. na huko ataenda kuiponde raisi, ccm na mbaya zaidi anaweza kuipondea nchi kiujumla.
Ujitambui wamekufa,kutekwa na kupotezwa watanzania wangapi au mpaka atekwe,au apotee baba yako au mama yako
 
Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Kwa matokeo haya ya uchaguzi, nchi ndiyo ishavurugika hiyo!
 
Mtu mmoja asiwe sababu ya wengi kuharibu maisha Yao, tutampuuza kama tulivyo wapuuza kwenye Kura!

Tanzania ni sehemu ya Edeni, ni lazima kufahamu namna nzuri ya kuendesha siasa ukiwa katika nchi nzuri kama Tanzania...
Dah kimeumana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…