je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 2,022
- 3,919
Walioharibu uchaguzi ndio wametumwa ungekuwa fair uchaguzi haya yasingekuwepoAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?