Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Mhe. Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa Habari muda huu nyumbani kwake Tegeta.
FB_IMG_1603960444439.jpg
 
NEC wameanza kutangaza matokeo ya Urais kutoka Majimboni. Kwa majimbo machache yaliyotangazwa, JP Magufuli amezoa atleast 78% ya kura zote.

Kuna majimbo ambayo Lissu kaambilia kura 1000 tu kati ya kura 71,000. What happened? Zile nyomi zote ilikuwa danganya toto? Hawa watu wanaibaje kura wakati CHADEMA iliweka mawakala?

Kuna la kujifunza na kuchukua hatua stahiki
 
Mawakala gani ?wakati maeneo kibao mawakala wamefanyiwa figisu
Truth be told: CHADEMA haikuweka mawakala kwenye kila kituo cha uchaguzi.

Kuna vituo vingi ulikuwa unakuta kuna vyumba hata 8 ndani ya eneo moja na ilipaswa kila chumba awepo wakala. Nilipopiga kura mimi niliona mawakala wawili tu
 
Back
Top Bottom