chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Kwelii waTanzania Ni malofa yani mtu anakuibia wazi wazi na tunakaa kimyaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nchi ni demu hadi ipoteze mvutoTanzania nchi yangu,unapoteza mvuto dah.
🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Saa 9:47 hii. Huyo Lisu mbona hatokei.
LISSU: Nakujaaaa
Unaongelea CHADEMA hiii🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂 Hao wenzio Walushavurugwaaa kitamboo ngojaaa uje uoneee Kifuatchao ITV utshangaaMaendeleo ya Chadema yatatokana Na kauli ya chama baada kutambua kushindwa. kulaumu tu haijengi chama. pia kushauri maandamano au kupinga pinga haitasaidia kwa level hii. Mje Na kauli ya matumaini. tutulie tuwaache waliopewa nafasi wafanye yao. Anza kujenga chama Na elimu kwa RAIA hiyo pigania kwa akili kubwa.
Siyo malofa tuu, hawajitambui na njaa ya kujipendekeza imewaathiri hadi ubongoKwelii waTanzania Ni malofa yani mtu anakuibia wazi wazi na tunakaa kimyaa
Mbea kama wewe ndio unarudisha maendeleo ya nchi yetu nyuma, go to hellAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
For what is happening bado runa safari ndefu sana kama nchi, wananchi kwa miaka mitano ijayo tutaisoma namba haswaa na hii namba uzuri haichagui ccm wala upinzaniSijui kama hatokamatwa maana hawa watu aibu hawana kabisa.
Yani inasikitisha sana ndugu yanguTundu Lissu piga spana mabeberu watume drone mbili tu, kumng'oa huyu jamaa.
Hata wizi wa kura sio huu, jimboni watu wmejindikisha kupiga kura 125,000 kura zimepigwa 400,000.
Wewe umeongea la maanWatanzania wengi huwa hawasomeki!
Unaweza kudhani unawajua vizuri watanzania wengi lakini baadaye wakakushangaza!
Wasipotangaza itakua ni vizuri lakini vikwazo vya kiuchumi vikianza joto watalisikia.Media za kibongo hazitaripoti chochote.
Bunge lijalo
Mmekula ndiooooo hamjakula ndioooooo
Mnataka maendeleo ndioooooo hamtaki maendeleo ndiooooo
Zidumu fikra za mwenyekiti
Binafsi TV yangu itakuwa ya kuangalia mahubiri ....nyimbo za injiri na movie tu hata kifurishi sitanunua
Maana itakuwa ni kuangalia mapambio ya CCM tu..
Kwa hiyo kuiba kura ni kupamba uchaguzi?Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
KabisaSafari hii atakuwa mungu kamili. Watamlamba adi unyoya.
Unabii imeanza lini?Wasipotangaza itakua ni vizuri lakini vikwazo vya kiuchumi vikianza joto watalisikia.