Hata wale wapinzani wa Magufulu ndani ya CCM huko kusini wameangushwa akiwemo Hawa Ghasia aliyeangushwa na mgombea wa CUF
 
Unaongelea CHADEMA hiii🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂 Hao wenzio Walushavurugwaaa kitamboo ngojaaa uje uoneee Kifuatchao ITV utshangaa
 
Akumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Mbea kama wewe ndio unarudisha maendeleo ya nchi yetu nyuma, go to hell
 
Sijui kama hatokamatwa maana hawa watu aibu hawana kabisa.
For what is happening bado runa safari ndefu sana kama nchi, wananchi kwa miaka mitano ijayo tutaisoma namba haswaa na hii namba uzuri haichagui ccm wala upinzani
 
Bunge lijalo

Mmekula ndiooooo hamjakula ndioooooo
Mnataka maendeleo ndioooooo hamtaki maendeleo ndiooooo

Zidumu fikra za mwenyekiti


Binafsi TV yangu itakuwa ya kuangalia mahubiri ....nyimbo za injiri na movie tu hata kifurishi sitanunua

Maana itakuwa ni kuangalia mapambio ya CCM tu..
 
Ndicho kilichobakia kwa Chadema, waendelee kuhadaa jumuia za kimataifa lakini wenye nchi wameshaamua. Wameamua hadanganyiki kwa siasa za ubabaishaji. Siasa za maendeleo zimeshinda dhidi ya siasa za demokrasia za fitina na matusi.
 


Safari hii atakuwa Mungu kamili. Watamlamba adi unyayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…