[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi uko wapi sister tukakinukishe?Mnangoja nini kutangaza CCM imeshinda nchi nzima!
Yupo Mungu mwenye nguvuTundu Lissu piga spana mabeberu watume drone mbili tu, kumng'oa huyu jamaa.
Hata wizi wa kura sio huu, jimboni watu wamejindikisha kupiga kura 125,000 kura zimepigwa 400,000.
Halafu wanajiita "WAPENZI WA MUNGU"?
Naona CNN, Fox News, Aljazeera, Kameme FM ya Kenya, ila samahani hivi hiyo kamera ni ya Milard Ayo hahahaha!Mhe. Tundu Lissu anazungumza na waandishi wa Habari muda huu nyumbani kwake Tegeta.View attachment 1615335
Mawakala gani ? Wakati maeneo kibao mawakala wamefanyiwa figisu.NEC wameanza kutangaza matokeo ya Urais kutoka Majimboni. Kwa majimbo machache yaliyotangazwa, JP Magufuli amezoa atleast 78% ya kura zote...
Wee mjinga tulia wenye akili wakiwa wanazungumzaAkumbuke kutueleza ametumwa kuja kuivuruga Tanzania kwa misingi ipi? Pia kwanini anakuwa supported na war criminals na vibaka wa rasilimali za Afrika?
Pamoja na kuwa wachafu, hawawezi kujichafua zaidi waziwazi kwa kufanya hivyo.Sijui kama hatokamatwa maana hawa watu aibu hawana kabisa.
Kwa matokeo haya tujiandae Magufuli kubadili katiba na kuitawala Tanzania milele.[emoji24][emoji24]
Truth be told: CHADEMA haikuweka mawakala kwenye kila kituo cha uchaguzi.Mawakala gani ?wakati maeneo kibao mawakala wamefanyiwa figisu
Misungwi na Sengerema wametishaMagufuli atashinda kwa kishindo, watu wamchapa spana Mbelgiji.