Na hii ndio common sense.
MaruhaniKuna sehemu Lissu kapata buku tu jimbo zima. Sasa sijui kura zake zilitolewa kwenye mabox? CCM wametisha sana linapokuja suala la kushinda uchaguzi.
Wafuasi wa upinzani hamna ujasiri wa kufanya chochoteLiamshwe dude tu ili pachimbike na pasitoshe. Hawa ccm wanaleta mchezo
Keyboard warior katika ubora wakoLiamshwe dude tu ili pachimbike na pasitoshe. Hawa ccm wanaleta mchezo