Mbona umekuwa soft hivyo..huyo muache alie mpaka akili imkae sawa...mabeberu hawana nafasi.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hongera sana Comred Mulokozijr12 kwa ushindi wa kishindo
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Leta mahaba ila huo ndio ukweli ambao hawataki kuuzungumza.Haya ya leo ni matokeo ya maamuzi hayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Tumsikilize rais Hussein Mwinyi anaongea sasa tbc
Rasmi rais wa Zanzibar πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’₯πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Rais Magufuli aliipa njaa kaskazini na akaiacha ikiendelea na kampeni ndogondogo zilizolenga kuwasogeza wapiga kura karibu na CCM, hatimaye akaenda kufunga kazi masaa 72 kabla ya uchaguzi na kuwaacha CHADEMA wasiwe na la kufanya au waelekeze nguvu zao Dar kujibu mashambulizi.

Hivyo hadi tunaenda mitamboni Mikoa ya Kaskazini ilikuwa na Image ya Magufuli vichwani mwao. Hii inafanya mikoa mengine ambayo huitazama kaskazini kama ngome ya upinzani kupoteza dira kwani katika masaa 72 yaliyopita kila wakiwauliza uelekeo wa watu wa kaskazini wanakutana na jibu kuwa jembe Magufuli amesafisha, hapo ndipo mikoa mingine ikapata nguvu ya kusafisha.

WELL DONE TEAM MAGUFULI. SIASA NI SAYANSI.
 
Chama hakina viongozi wa mashina unadhani kitapata wapi wapiga kura; hii ya kulalamikia polisi na NEC ni utoto sana. Unamkuta mtu anvunja sheria hadharani kwenye vituo vya uchaguzi halafu akishughulikiwana vyombo vya sheria analalamika.
Polisi OCD kamwambia mgombea wewe hushindi. Polisi huyo yupo Kazini

Karatasi za NEC zinapatikana wapi mtaani?

Vifaru vya nini barabararani

''Wakurugenzi, nikupe gari halafu umtangaze mpinzani. Nataka kufuta upinzani'' lol

Bwana Kichuguu, kwa mtu mwenye akili timamu anayefikiri sawia kilichotokea ni huzuni.
Ni huzuni kwasababu kwa serikali hii iliyoongoza na kukampeni miaka 5, kutumia rasilimali za umma miak 5 na kusaidiwa na Jeshi la Polisi( OCD ni Shahid) , TCRA, NEC, hadi TBC chuki iliyotokea inatisha

Kwanini inachukiwa , anachukiwa na wanachukiwa kiasi hiki? Hilo ni muhimu kujiuliza kuliko kushangilia uhalifu
 
Ni hivi, niliwaambia wapinzani miaka 10 iliyopita, hawawezi kushinda kwa muundo uliopo

Mwaka huu niliandika hapa JF kwamba, kama wapinzani watapata kiti 1 ni bahati.

Nilitegemea kwa serikali inayotamba na kufanya mambo mengi basi hali ingekuwa tofuati.

Nilichobaini, Inachukiwa, anachukiwa na wanachukiwa sana. Hilo ndilo la kutafakari, why?

Huko kwenye uchaguzi sipo sikutegemea tofauti! nina shock na inavyochukiwa , anavyochukiwa na wanavyochukiwa.

JokaKuu Pascal Mayalla tindo
 
Ahaaa.lakini hizo kura feki si zinaonekanaaa[emoji16][emoji16][emoji16].
Sawaaa mnasema mmeshinda lakini kura feki za niniiiii
 
Hongera kwetu sote Comrade

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…