Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Jikaze kiume Godfrey Vice dunia ndivyo ilivyo ajaliwaye ndio apatae
Tuendelee kujenga familia zetu na nchi yetu. Maendeleo Hayana vyama
Mbona umekuwa soft hivyo..huyo muache alie mpaka akili imkae sawa...mabeberu hawana nafasi.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Sio kweli.
Kura feki zimewabeba ccm.
Hizo feki ulizipiga wewe? hamko serious, mawakala tu mmeshindwa kuweka afu bado mnajidanganya kwamba mnawatu...kazi za JPM tumezielewa, hakuna wapinzani nchini ila kunavibaraka vya mabeberu, refer waloyafanya mitandaoni wakati wa corona.
 
Unaweza kupingwa si kwa nia ya kubeza Bali Kama (provocation) ili ufanye vizuri zaidi.

Maana unaweza dhani unafanya VIZURI LAKINI ISIWE VIZURI SANA.

Hivyo wakiwepo watu wa kuku-challange itakusaidia kufikia hatua ya kufanya kwa UZURI ZAIDI.
Criticism sio lazima ndani ya bunge,
Lipumba ni miungoni mwa prominent figures nchini, ni mpinzani na sio mbunge.
 
Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikia
Hilohilo nyomi lilikua na wasio na kadi na hilohilo ndio lilikua linahamia upande wa pili kujazia lile nyomi la kijani kusikiliza sera
Nyie jamaa bana, yani nyomi likiwa kwenu fresh, ila likienda kwa jirani hawana kadi ya kura!
 
Mimi kama mwana chama mpya wa CCM nina mpongeza kiongozi wa malaika na chama ombi langu kwa kiongozi wa malaika na kiongozi wa chama na nchi ninaomba uzima kabisa internet haina mchango kwa wazalendo
Well noted.
 
Tulimwambia lakini ila sababu ya ubishi wake hukutaka kusikia
Hilohilo nyomi lilikua na wasio na kadi na hilohilo ndio lilikua linahamia upande wa pili kujazia lile nyomi la kijani kusikiliza sera
Naona mnajipongeza kwa ushindi wa kishindo mama D
 
Tulisema humu watu hawajai kwenye mikutano yake kwa kumpa kura ila ni kujua ni yeye.

Ndiyo maana mawakala wake mkawaengua?

Na zile kura feki mlizokuwa mkipenyeza kuna zozote mlizokuwa mnampenyezea yeye au zote zilikuwa kwa jizi baba lao?
 
Acha kutafuta sababu isiyo kwepo, wakati wa Slaa uongozi wa Mkapa na kikwete angalau ulikuwa na utu na kujali demokrasi na hiyo ndiyo unaona kama walikuwa makini. Uongozi wa sasa hauna utu Umejaa majivuni usiojali utu wa watu wake! kiongozi mkuu anajiona yeye ndiye pekee na hakuna kama yeye. Mtu kama MBOYE ni mangapi yamempata? angekuwa legelege kitambo sana angeunga juhudi.
Hata kama una huzuni na kushindwa kwa kishindo. Ndio uandike "MBOYE" instead of "MBOWE" kweli??
Au hata wagombea wenu mlikuwa hamuwajui kwa majina..Sio mbaya katika ile karatasi ya kupigia kura kulikuwa na ka picha.

Ila mmestahili mlichokupata.
 

Nimekuwa nikijaribu kubadilisha station mara kwa mara ili kupata kile kinachoendelea ndani ya nchi, kuna matukio kama manne au matano yaliyotokea leo nje ya utangaazaji wa matokeo ya uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani. Leo kulikuwa na press conference ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Antipas Tundu Lissu kuhusiana na matokeo pia Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Maalim Sharifu Hamad nae alikiwa na press conference, kuna tukio la kukamatwa kwake na vurugu zinazoendelea huko Pemba pia ila cha ajabu televison zote zipo busy na kusikiliza matokeo. Wanatunyima haki ya kujua nini kinachondelea ndani ya tanzania ukizingatia na mitandao nayo imefungwa
 
Back
Top Bottom