Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Mbona umekuwa soft hivyo..huyo muache alie mpaka akili imkae sawa...mabeberu hawana nafasi.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hongera sana Comred Mulokozijr12 kwa ushindi wa kishindo
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Acha kutafuta sababu isiyo kwepo, wakati wa Slaa uongozi wa Mkapa na kikwete angalau ulikuwa na utu na kujali demokrasi na hiyo ndiyo unaona kama walikuwa makini. Uongozi wa sasa hauna utu Umejaa majivuni usiojali utu wa watu wake! kiongozi mkuu anajiona yeye ndiye pekee na hakuna kama yeye. Mtu kama MBOYE ni mangapi yamempata? angekuwa legelege kitambo sana angeunga juhudi.
Leta mahaba ila huo ndio ukweli ambao hawataki kuuzungumza.Haya ya leo ni matokeo ya maamuzi hayaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
images (23).jpeg
 
Tumsikilize rais Hussein Mwinyi anaongea sasa tbc
Rasmi rais wa Zanzibar πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’₯πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Rais Magufuli aliipa njaa kaskazini na akaiacha ikiendelea na kampeni ndogondogo zilizolenga kuwasogeza wapiga kura karibu na CCM, hatimaye akaenda kufunga kazi masaa 72 kabla ya uchaguzi na kuwaacha CHADEMA wasiwe na la kufanya au waelekeze nguvu zao Dar kujibu mashambulizi.

Hivyo hadi tunaenda mitamboni Mikoa ya Kaskazini ilikuwa na Image ya Magufuli vichwani mwao. Hii inafanya mikoa mengine ambayo huitazama kaskazini kama ngome ya upinzani kupoteza dira kwani katika masaa 72 yaliyopita kila wakiwauliza uelekeo wa watu wa kaskazini wanakutana na jibu kuwa jembe Magufuli amesafisha, hapo ndipo mikoa mingine ikapata nguvu ya kusafisha.

WELL DONE TEAM MAGUFULI. SIASA NI SAYANSI.
 
Chama hakina viongozi wa mashina unadhani kitapata wapi wapiga kura; hii ya kulalamikia polisi na NEC ni utoto sana. Unamkuta mtu anvunja sheria hadharani kwenye vituo vya uchaguzi halafu akishughulikiwana vyombo vya sheria analalamika.
Polisi OCD kamwambia mgombea wewe hushindi. Polisi huyo yupo Kazini

Karatasi za NEC zinapatikana wapi mtaani?

Vifaru vya nini barabararani

''Wakurugenzi, nikupe gari halafu umtangaze mpinzani. Nataka kufuta upinzani'' lol

Bwana Kichuguu, kwa mtu mwenye akili timamu anayefikiri sawia kilichotokea ni huzuni.
Ni huzuni kwasababu kwa serikali hii iliyoongoza na kukampeni miaka 5, kutumia rasilimali za umma miak 5 na kusaidiwa na Jeshi la Polisi( OCD ni Shahid) , TCRA, NEC, hadi TBC chuki iliyotokea inatisha

Kwanini inachukiwa , anachukiwa na wanachukiwa kiasi hiki? Hilo ni muhimu kujiuliza kuliko kushangilia uhalifu
 
Feelings are not facts, ni muhimu kulitambua hilo, hao wananchi mnaowasemea kila siku kwamba ,,wana chuki na Raisi Magufuliβ€˜β€˜ wako wapi? Mbona hatuwaoni popote si Mitaani si kwenye kura, si kwenye Daladala si kwenye Familia, sasa wako wapi?

Najua mna chuki na hasira kushindwa lkn unafikiri ninyi hamna kosa hata kidogo kwenye kushindwa kwenu?

Tundu lisu kaleta Muzungu kamtambulisha kwetu na Muzungu anamtisha Raisi JMTZ unafikiri sisi tutakubali?

Hivyo usiache feelings zako kugeuka kuwa facts, ni kweli mna machungu lkn ndio maisha hayo, ...
Ni hivi, niliwaambia wapinzani miaka 10 iliyopita, hawawezi kushinda kwa muundo uliopo

Mwaka huu niliandika hapa JF kwamba, kama wapinzani watapata kiti 1 ni bahati.

Nilitegemea kwa serikali inayotamba na kufanya mambo mengi basi hali ingekuwa tofuati.

Nilichobaini, Inachukiwa, anachukiwa na wanachukiwa sana. Hilo ndilo la kutafakari, why?

Huko kwenye uchaguzi sipo sikutegemea tofauti! nina shock na inavyochukiwa , anavyochukiwa na wanavyochukiwa.

JokaKuu Pascal Mayalla tindo
 
Ahaaa.lakini hizo kura feki si zinaonekanaaa[emoji16][emoji16][emoji16].
Sawaaa mnasema mmeshinda lakini kura feki za niniiiii
Mimi ningekua mwanachama wa upinzani nisingekubali hiyo excuse ya wizi wa kura kwa sababu
1.Huu sio uchaguzi wa kwanza kwa wapinzani kushiriki, haiwezekani mnarudia kuongea vitu vilevile kila uchaguzi
2.Sababu ya pili aina zote za malalamiko ninazozisikia ni wazi kwamba upinzani hawana wanachama au hawana wanachama watiifu au hawajawalea wanachama wao kwenye misingi imara ya uzalendo kwa chama chao na kwa nchi yao. Mtaji wa chama ni wanachama Yaani wananchi. Kama mnasema hΓ ohao wananchi ndio wanashiriki wizi ni wazi kabisa hamkubaliki wala hamuaminiki

Jifunzeni kwa wenzenu CCM, kwao linapokuja swala la chama wanakua familia moja mnayoongea lugha moja. Mngejua juhudi walizokua wakifanya CCM kwa zaidi ya miaka2 huku mtaani mngeachana na hizo propaganda za viongozi wenu wachumia tumbo

Wana CCM wamefanya kazi kubwa sana kutoa hamasa, kurudisha heshma ya chama chao na kuongeza idadi ya wanachama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana Comred Mulokozijr12 kwa ushindi wa kishindo
[emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172]
Hongera kwetu sote Comrade

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom