waterbuck
Member
- Jul 30, 2016
- 22
- 12
try apkningelijua mapema haya yanatokea ningedaunilodi VPN mapema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
try apkningelijua mapema haya yanatokea ningedaunilodi VPN mapema
Tume ya taifa ya Uchaguzi wameweka jina la Lissu mwisho kama ambavyo alikua wa mwisho kurejesha fomu za kuteuliwa na tume, Hawajafanya hivyo kimakosa ila kiimani wanasema wakwanza atakua wa mwisho na wa mwisho atakua wa kwanza.Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Vilikamatwa na nani? Kama vilikamatwa na jeshi la wananchi au wakala Ni Jambo zuri na la kutoa moyo.
Nje ya hapo itakuwa kazi bite mkuu
Ulivyo soft hivi utaweza kuandamana wewe yakitokea ya kutokea. Au tutaandamaana jf tu....View attachment 1614276
Sitaki ujinga kabisa
Kura zote kwa Rais Magufuli
Twendeni kupiga kura jamani tuchague viongozi tuna wataka, hamasisha na mwenzio, kura ndio zinaamua, tuache kulalamika.
Tume walitoa sababu kwanini iko hali hiyo, wa mwisho alirudisha form akiwa mtu wa mwishoEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Hiyo Apkpure inapatikana wapi?Tumia "Apkpure" ipo sawa na "playstore" kupakua VPN
ukifanikiwa nijulisheLeo serikali imetuweza nilitaka nidownload vpn imegoma kabisa nani ana ujuzi huku bukoba mitandao ya kijamii haifanyi kazi.
Hii walishindwa kuifungiaMitandao itakuwa inapatikana? Maana hii JF yenyewe lazima uisearch haiji moja Kwa moja.
Hivyo ndivyo ballot ilivyo; majina yamepangwa kulingana na order ya kurudisha form. Magufuli alikuwa wa kwanza kurudisha forma wakati Lissu alikuwa wa mwisho kurudisha form.
Isearch googleHiyo Apkpure inapatikana wapi?
Me too.Sky mwenzangu, nimepitwa, iko wapi hiyo petition? nami ni sign
ukiingia kwenye kibox (Ballot Box) km wanakufuatilia kwa CCTV hiyo karatasi igeuze upside down Lissu atakuwa wa kwanza na Magu wa mwisho, KUNA WANAA HAPO HAWAKUAMINI WANAJUA NI MSALITIMwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,