Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
Tume ya taifa ya Uchaguzi wameweka jina la Lissu mwisho kama ambavyo alikua wa mwisho kurejesha fomu za kuteuliwa na tume, Hawajafanya hivyo kimakosa ila kiimani wanasema wakwanza atakua wa mwisho na wa mwisho atakua wa kwanza.
 
Kama kila kituo kingekuwa na mawakala kama wa kituo changu ingekuwa balaa. mawakala wako very active
 
Hata kama watalazimisha Magu atangazwe mshindi lakini message sent, hatakiwi na hapendwi.
Mpaka wanatuzimia mitandao yote kusudi waibe kura. Shame on you na vibaraka wote wa CCM
 
Hivyo ndivyo ballot ilivyo; majina yamepangwa kulingana na order ya kurudisha form. Magufuli alikuwa wa kwanza kurudisha forma wakati Lissu alikuwa wa mwisho kurudisha form.

Mbona kwa wabunge na madiwani hatukuona hali hiyo wakwanza kuchukua fomu? Ni hivi, ni mambo ya kitoto.
 
Mgombea wa ADA Tadea amesahau kadi yakupigia kura Dar na yy kaenda kupigia kura mbeya ,,aisee
 
Tonite @ 2.30 am & in the eve of an election day in Tz, heavily armed gangsters believed to be the notorious operators of Hai DC Ole Sabaya & protected by Hai Police OCD have raided our hotel, kidnapped & disappeared with two of our armed security guards. My life is in danger.
 
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowasa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list,
ukiingia kwenye kibox (Ballot Box) km wanakufuatilia kwa CCTV hiyo karatasi igeuze upside down Lissu atakuwa wa kwanza na Magu wa mwisho, KUNA WANAA HAPO HAWAKUAMINI WANAJUA NI MSALITI
 
Back
Top Bottom