Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Sijui ni sengerema, magufuli kapata 62 elfu hlf lisu kapata 7000 hivi!
Khaa!!!
Ni kweli Sengerema imetangazwa Magufuli kapata kura 62 581 (87.56%) na Lissu kapata 7,711 (10.80%)
Huko Misungwi, Magufuli kapata 175,585 (98.72%)
huku Lissu akiambulia 1,217 tu (0.68%)
Tuliwaambia maji ya Magufuli ni marefu, CHADEMA hawakusikia.
 
Ni kweli Sengerema imetangazwa Magufuli kapata kura 62 581 (87.56%) na Lissu kapata 7,711 (10.80%)
Huko Misungwi, Magufuli kapata 175,585 (98.72%)
huku Lissu akiambulia 1,217 tu (0.68%)
Tuliwaambia maji ya Magufuli ni marefu, CHADEMA hawakusikia.
Aiseee si mchezo!
 
Umeandika tu hisia zako . Hakuna dai polite ulilotoa na kuweka ushahidi uliothibitishwa. Banda ukapumzike usije ukaumia kwa pressure. Watanzania tumeamua
Nimetoka kumsikiliza Lissu kasema watanzania ndio waliotemewa mate usoni, waamue kudai haki yao.
 
Hizi ni Hasira za tokea uchaguzi wa 2015 wananchi kutaka kuuzwa Kwa fisadi la mafisadi,

Hapa Napo ni yaleyale, pale wananchi wanapotaka kuuzwa tena Kwa mara nyingine ingwa ni kijanjajanja hivi......

Kumbe Watanzania wanakodoa kodo kuona hata cha gizani aisee
 
Ni kweli Sengerema imetangazwa Magufuli kapata kura 62 581 (87.56%) na Lissu kapata 7,711 (10.80%)
Huko Misungwi, Magufuli kapata 175,585 (98.72%)
huku Lissu akiambulia 1,217 tu (0.68%)
Tuliwaambia maji ya Magufuli ni marefu, CHADEMA hawakusikia.
Alafu kuna bavicha waļidai wanaenda shinda kanda ya ziwa, kule ndio huamua. Ukishinda kule kazi imeisha...Sengerema na Misungwi wametoa picha ya kanda ya ziwa
 
NEC wameanza kutangaza matokeo ya Urais kutoka Majimboni. Kwa majimbo machache yaliyotangazwa, JP Magufuli amezoa atleast 78% ya kura zote.

Kuna majimbo ambayo Lissu kaambilia kura 1000 tu kati ya kura 71,000. What happened? Zile nyomi zote ilikuwa danganya toto? Hawa watu wanaibaje kura wakati CHADEMA iliweka mawakala?

Kuna la kujifunza na kuchukua hatua stahiki
Lissu badala ya kwenda Kariakooo kununua nyanya ilitakiwa aende kufanya kampeni za kimya kimya kuliko kutaka aonekane kwenye mitandao
 
Akiongea na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje, Tundu Lissu ambaye ni mgombea urais kupitia CHADEMA amesema kutokana na ukiukwaji mwingi wa sheria na kanuni za uchaguzi hayatambui matokeo hayo na amewataka wananchi kujiandaa kuchukua hatua zozote zile ikiwemo kuandamana kudai haki yao.

Amezitaka jumuia za kimataifa AU, UN, Commonwealth, EU, nchi za Marekani na Ulaya, marafiki, nchi jirani na watu mbalimbali kutoyatambua matokeo hayo.

Amezitaka jumuia za kimataifa kuwachukulia hatua wote waliohusika na kuvurugika kwa uchaguzi wakiwemo viongozi wa NEC, viongozi wa vyombo vya dola wao binafsi na taasisi zao.
 
Watanzania kweli tumeamua. Wasipigepige kelele:

1603963986030.png



Umeandika tu hisia zako . Hakuna dai lolote ulilotoa na kuweka ushahidi uliothibitishwa. Nenda ukapumzike usije ukaumia kwa pressure. Watanzania tumeamua
 

Attachments

  • 1603963933053.png
    1603963933053.png
    119.3 KB · Views: 1
Tumaini wake yukwapi, tupeni updates za maandishi hapa si mnajua wengi videos na links hazifunguki.
 
Ni kweli Sengerema imetangazwa Magufuli kapata kura 62 581 (87.56%) na Lissu kapata 7,711 (10.80%)
Huko Misungwi, Magufuli kapata 175,585 (98.72%)
huku Lissu akiambulia 1,217 tu (0.68%)
Tuliwaambia maji ya Magufuli ni marefu, CHADEMA hawakusikia.
Lissu na Amsterdam out
 
Chama hakina viongozi serikali za mitaa, wabunge almost wote sjui wamenunuliwa , sjui wamejiudhulu chama kimeingia kwenye uchaguz hakipo organized kabisa , most of the time Lissu amefight alone , Mbowe hakuonekana kbisa jukwaan, sio mnyika na sio msigwa wote wapo kivyao unawezaje kushinda dhidi ya adui ambaye yupo well organized from the scratch?

Kuingiza watu barabani itawaletea Tu aibu kubwa na kushindwa vibaya Sana pale raia watakapowagomea. Kwanza most of people hawakuwa aware kabisa na maswala ya siasa kama tulivyokuwa tunaaminishwa humu, Jana Tu watu walikuwa busy na mahangaiko ya Maisha.
Jinga sana hilo Mbowe! Coward kabisa! Hata huyo Mnyika ofisini alikuwa anafanya nini? Chama chao kwenye vituo vingi tu hawakuwa na mawakala.
Hilo Mbowe linalalamika tu eti maisha yangu nye nye yako hatarini, kuwa mwanaume wewe kama Lissu!
Ona sasa officially hakuna upinzani...Ohooh tunataka maridhiano! Maridhiano gani wewe kenge! Idiot! Stop being naive.
 
Kila mwenye akili anajua kuwa Tanzania hatukuwa na uchaguzi.

Kila sehemu ni vituko vitupu. Kuna maeneo mawakala wa vyama vya upinzani walikataliwa kuingia, kuna maeneo mawakala wa vyama vya upinzani walifukuzwa, na waliogoma walikamatwa na kupelekwa kusikijulikana. Kuna maeneo mawakala wa upinzani hawakuruhusiwa kuingia asubuhi, wamekuja kuruhusiwa mchana. Kuna maeneo, mawakala wa upinzani wamezuiwa kushiriki zoezi la ujumlishaji.

BADO KUNA MTU YEYOTE MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEAMINI TANZANIA TULIKUWA NA UCHAGUZI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom