Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Last term Dictator wa Chato alienda Ethiopia sijui na Rwando. This time, Jiwe hawezi kukanyaga any foreign Nation, arogwe athubutu. Asubuhi tu anadakwa. Na ulinzi wake Utakuwa battalion nzima.
 
Tangu lini umekuwa Mungu kujua ni yepi yatatokea siku za usoni?
Kama nilivyojua kuwa CHADEMA na kambi nzima ya upinzani watashindwa kwenye huu uchaguzi, ndivyo hivyo hivyo ninavyojua kuwa hakuna lolote la maana litalomtokea Magufuli, kwa muktadha wa ICC.

Huhitaji kuwa mungu kujua vinavyojulikana.

Mtaishia kulia na kunung’unika kwenye mitandao ya kijamii tu.
 
Kama pia ulivyojua dikteta Bashiru hatafunguliwa mashtaka hivyo huyo dikteta mwingine naye hatafunguliwa mashtaka.

(CNN) Sudan's former president Omar al-Bashir will be handed over to the International Criminal Court to face war crimes charges, it was announced Tuesday.

Bashir, who was ousted in April 2019 after months of nationwide protests, faces five counts of crimes against humanity and two counts of war crimes at the ICC in The Hague. The crimes were allegedly committed during Sudan's military campaign in Darfur between 2003 and 2008.

A member of Sudan's ruling sovereign council said Tuesday that all Sudanese wanted by the ICC would appear before it. A senior government source confirmed to CNN that Bashir was among them.


Kama nilivyojua kuwa CHADEMA na kambi nzima ya upinzani watashindwa kwenye huu uchaguzi, ndivyo hivyo hivyo ninavyojua kuwa hakuna lolote la maana litalomtokea Magufuli, kwa muktadha wa ICC..
 
Kama pia ulivyojua dikteta Bashiru hatafunguliwa mashtaka hivyo huyo dikteta mwingine naye hatafunguliwa mashtaka...
Sijawahi hata siku moja kumzungumzia huyo “dikteta Bashiru” unayemzungumzia.

Hivyo madai yako kwamba nilijua hatafunguliwa mashitaka, ni uzushi.

You are not even thinking straight. The thumping got you messed.

Where did I ever say that I knew “dikteta Bashiru” wouldn’t face trial at ICC?

Stop making shit up. Stop hallucinating.
 
CHDEMA tuliwapa ushauri tukawaambia kwamba kwa dalili tulizoziona kupitia serikali za mitaa 2019 rafu walizochezewa wagombea wao ndiyo hizo hizo zitakazotokea kwenye uchaguzi wa Urais,ubunge na udiwani...
Mkuu Fundi Madirisha, kama wewe si msahaulifu ni mgeni hapa Tz. Kesi kuwazui wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi ilifunguliwa na Bob Chacha Wangwe, Mahakama Kuu ikakubaliana na hoja za Bob. Mahakama Kuu ikawapiga pini wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi, lakini Serikali ilikata rufani Mahakama ya Rufani. Sielewi Majiji wa Mahakama ya Rufani walizingatia hoja gani za kuona kuwa ni lazima sana wakurugenzi waendelee kuwa wasimamizi wa chaguzi zetu!

Hivyo Mahakama ya Rufani na Serikali wamekubaliana waendelee kuvuruga chaguzi za Tanzania kwa kuwatumia wakurugenzi ambao Teuzi zao katika Tanzania ya Magufuli mkurugenze sharti awe Muunga Juhudi. Kuhusu kwamba uliwaonya viongozi wa CHADEMA wawaongoze watu kudai Tume Huru, kumbuka miaka mitano ya Magufuli mikutano ya Siasa ilizuliwa kibabe, hata mikutano ya ndani iliyoruhusia baadaye ilileta mateso makubwa sana (kule Geita)

Wajumbe wa mkutano wa ndani walikamatwa na kuwekwa mahabusu za magereza kwa mwezi mingi bila kupewa dhamana kimkakati kuakomoa tu. Lakini pia kumbuka viongozi wa CHADEMA ngazi ya juu miaka mitano ya Magufuli wamekuwa Watu wa kuhuzuria mahakamani kujitetea kuepuka vifungo kwa Kesi mbalimbali za kubambikiwa.
 
CHDEMA tuliwapa ushauri tukawaambia kwamba kwa dalili tulizoziona kupitia serikali za mitaa 2019 rafu walizochezewa wagombea wao ndiyo hizo hizo zitakazotokea kwenye uchaguzi wa Urais,ubunge na udiwani..
Nadhani huitaji kuelezea zaidi. Huu ni ujumbe tosha. Na kwa kuongezea tu ni kuwa strategy ni 0kwa upinzani.
Siasa wako vizuri. Wanashindwa kuelewa kuwa siasa ni kitu kingine na kushinda ni kitu kingine.

Hii miaka mitano walioko nje. Wajitafakari upya.. inatosha kabisa kujipanga kuja kivingine.
Wachukue ushauri na this time waache ubishi
 
Ni mambo ya Karma, J. Mnyika katibu wa CHADEMA kwa sasa aliwahi kutamka maneno mabaya dhidi viongozi wa Taifa hili kuwa ni dhaifu. Sasa karma imemfuata hapo alipo, chama chake kinamfia mikononi mwake! Na hii inadhihirisha udhaifu mkubwa sana aliounyesha Mnyika kutekeleza majukumu ya ukatibu mkuu wa CHADEMA!!!!
Haiingii akilini watu kubakia kulalamika bila kufanya michakato na mikakati ya maana. Kujitathimini kila mara ni muhimu sana.

1. Serikali ilizuia mikutano ya hadhara na kutoa maelekezo ni namna gani vyama vijengwe kwa vikao vya ndani. Kila kanda, mikoa, wilaya, kata, mitaa na vitongojini kuna viongozi. Wale wangeweza kufanya mambo makubwa sana. Lakini itikadi ya kuhodhi madaraka, kudharauliana ndiko kunatufikisha hapa.

2. Hapakuwa na ulazima wa kuwafuta vyama akina Komu, Lijualikali na wengine kwa hoja dhaifu pasipo kuwapa muda wa kujitafakari.

3. Chama kutoweka jicho makini kwa wabunge wake na pengine kutoheshimu manung'uniko yao mwishowe wakaanza kuunga juhudi. Viongozi wakaibuka na propaganda ya kununuliwa badala ya kujikita kutafuta namna ya kudhibiti mianya ya watu kujitoa. Mbunge wa Arumeru kutohudhuria vikao vingi vya bunge pasipo chama kumsanua.

4. Bado tuna muda wa kukijenga chama tena; japokuwa pasipo ruzuku kubwa kama awali.
 
Nadhani huitaji kuelezea zaidi. Huu ni ujumbe tosha.
Na kwa kuongezea tu ni kuwa strategy ni 0kwa upinzani.
Siasa wako vizuri. Wanashindwa kuelewa kuwa siasa ni kitu kingine na kushinda ni kitu kingine.

Hii miaka mitano walioko nje. Wajitafakari upya.. inatosha kabisa kujipanga kuja kivingine.
Wachukue ushauri na this time waache ubishi
Mashabiki wa Yanga na Simba ni mahili sana kuwakosoa wachezaji wa timu zao wachezapo uwanjani. Lakini ukimwambia huyo mkosoaji aingie kucheza kwa kutumia ushauri huo hawezi kuleta ufanisi wowote.

Tanzania ya Magufuli kila Mhimili Ume- Compromise! Ili uwe salama lazima uunge Juhudi. Miaka 5 ya Magufuli tumeaminishwa kuwa kukosoa ni kumkwamisha mheshimiwa astuletee Maendeleo! Bunge limelazimika kutunga sheria kandamizi dhidi ya Democrasia ya vyama vingi.
 
Mashabiki wa Yanga na Simba ni mahili sana kuwakosoa wachezaji wa timu zao wachezapo uwanjani. Lakini ukimwambia huyo mkosoaji aingie kucheza kwa kutumia ushauri huo hawezi kuleta ufanisi wowote. Tanzania ya Magufuli kila Mhimili Ume- Compromise! Ili uwe salama lazima uunge Juhudi. Miaka 5 ya Magufuli tumeaminishwa kuwa kukosoa ni kumkwamisha mheshimiwa astuletee Maendeleo! Bunge limelazimika kutunga sheria kandamizi dhidi ya Democrasia ya vyama vingi.
Licha ya compromise, upinzani umejipangaje ku counter hilo tatizo?

kuna possibility hata akiondoka madarakani. Wengine wakija wata operate kwenye thr same foundation aliyo anzisha magufuli.
Lazima waje na strategy ya ku block or ku force gov wa roll back hizo sheria kandamizi.

Otherswise uchaguzi utandelea kuwa nothing but smoke screen.
 
1. Serikali ilizuia mikutano ya hadhara na kutoa maelekezo ni namna gani vyama vijengwe kwa vikao vya ndani. Kila kanda, mikoa, wilaya, kata, mitaa na vitongojini kuna viongozi. Wale wangeweza kufanya mambo makubwa sana. Lakini itikadi ya kuhodhi madaraka, kudharauliana ndiko kunatufikisha hapa...
Je Uchaguzi huu ingekuwa Huru na Haki, ungetegea Matokeo haya? Comment zako hizi ni Unafiki tu, kwani badala ya kuilaumu Tume ya Uchaguzi iliyouharibu Uchaguzi! Unawalaumu viongozi wa CHADEMA ambao walitoa angalizo juu ya tume kuharibu Uchaguzi.
 
Mimi nadhani tunaenda kushuhudia bunge dhaifu katika historia yetu, ikiwa ni kweli kura ziliibiwa na kupewa ubunge kama zawadi hii ina maana moja tu kubwa, wakiwa ndani ya bunge watapitisha lolote la serikali sababu wewe uko hapo kwa fadhila ya chama tu wala sio nguvu zako. uchaguzi umeisha ila mustakbali wa nchi kuna mashaka mengi.
 
Licha ya compromise, upinzani umejipangaje ku counter hilo tatizo?
kuna possibility hata akiondoka madarakani. Wengine wakija wata operate kwenye thr same foundation aliyo anzisha magufuli.
Lazima waje na strategy ya ku block or ku force gov wa roll back hizo sheria kandamizi.

Otherswise uchaguzi utandelea kuwa nothing but smoke screen.
Hapo juu kuna comment nimeelezea juu ya Magufuli kuzuia kibabe shughuli za kisiasa. Kufuatia Ubabe huo viongozi wa CHADEMA kila sehemu walijikuta wakiitumia miaka 5 mahakamani kujitetea kuepuka vifungo jela kwa makosa ya shughuli halali za kisiasa.

Detective, sawa na jina lako, kutaka upinzani useme umejipangeje ili wewe ujue ni kwamba unataka Serikali ijue na kutengeneza sheria itakayozuia kutekeleza kwa mpango huo.
 
Mimi nadhani tunaenda kushuhudia bunge dhaifu katika historia yetu, ikiwa ni kweli kura ziliibiwa na kupewa ubunge kama zawadi hii ina maana moja tu kubwa, wakiwa ndani ya bunge watapitisha lolote la serikali sababu wewe uko hapo kwa fadhila ya chama tu wala sio nguvu zako. uchaguzi umeisha ila mustakbali wa nchi kuna mashaka mengi.
Binafsi naogopa sana kwa yanayokwenda kutokea, nakionea huruma sana kizazi chetu. God have a mercy with Tanzania!
 
Back
Top Bottom