Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Losers clutching at straws!
No one will be charged.
But I understand fantasies can be therapeutic at times.
Losers clutching at straws!
No one will be charged.
But I understand fantasies can be therapeutic at times.
Kama nilivyojua kuwa CHADEMA na kambi nzima ya upinzani watashindwa kwenye huu uchaguzi, ndivyo hivyo hivyo ninavyojua kuwa hakuna lolote la maana litalomtokea Magufuli, kwa muktadha wa ICC.Tangu lini umekuwa Mungu kujua ni yepi yatatokea siku za usoni?
Kama nilivyojua kuwa CHADEMA na kambi nzima ya upinzani watashindwa kwenye huu uchaguzi, ndivyo hivyo hivyo ninavyojua kuwa hakuna lolote la maana litalomtokea Magufuli, kwa muktadha wa ICC..
Sijawahi hata siku moja kumzungumzia huyo “dikteta Bashiru” unayemzungumzia.Kama pia ulivyojua dikteta Bashiru hatafunguliwa mashtaka hivyo huyo dikteta mwingine naye hatafunguliwa mashtaka...
Go easy on them... Watu wana machungu labda hisia zikikaa sawa watajifunza.Sijawahi hata siku moja kumzungumzia huyo “dikteta Bashiru” unayemzungumzia...
Mkuu Fundi Madirisha, kama wewe si msahaulifu ni mgeni hapa Tz. Kesi kuwazui wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi ilifunguliwa na Bob Chacha Wangwe, Mahakama Kuu ikakubaliana na hoja za Bob. Mahakama Kuu ikawapiga pini wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi, lakini Serikali ilikata rufani Mahakama ya Rufani. Sielewi Majiji wa Mahakama ya Rufani walizingatia hoja gani za kuona kuwa ni lazima sana wakurugenzi waendelee kuwa wasimamizi wa chaguzi zetu!CHDEMA tuliwapa ushauri tukawaambia kwamba kwa dalili tulizoziona kupitia serikali za mitaa 2019 rafu walizochezewa wagombea wao ndiyo hizo hizo zitakazotokea kwenye uchaguzi wa Urais,ubunge na udiwani...
Nadhani huitaji kuelezea zaidi. Huu ni ujumbe tosha. Na kwa kuongezea tu ni kuwa strategy ni 0kwa upinzani.CHDEMA tuliwapa ushauri tukawaambia kwamba kwa dalili tulizoziona kupitia serikali za mitaa 2019 rafu walizochezewa wagombea wao ndiyo hizo hizo zitakazotokea kwenye uchaguzi wa Urais,ubunge na udiwani..
Haiingii akilini watu kubakia kulalamika bila kufanya michakato na mikakati ya maana. Kujitathimini kila mara ni muhimu sana.Ni mambo ya Karma, J. Mnyika katibu wa CHADEMA kwa sasa aliwahi kutamka maneno mabaya dhidi viongozi wa Taifa hili kuwa ni dhaifu. Sasa karma imemfuata hapo alipo, chama chake kinamfia mikononi mwake! Na hii inadhihirisha udhaifu mkubwa sana aliounyesha Mnyika kutekeleza majukumu ya ukatibu mkuu wa CHADEMA!!!!
Mashabiki wa Yanga na Simba ni mahili sana kuwakosoa wachezaji wa timu zao wachezapo uwanjani. Lakini ukimwambia huyo mkosoaji aingie kucheza kwa kutumia ushauri huo hawezi kuleta ufanisi wowote.Nadhani huitaji kuelezea zaidi. Huu ni ujumbe tosha.
Na kwa kuongezea tu ni kuwa strategy ni 0kwa upinzani.
Siasa wako vizuri. Wanashindwa kuelewa kuwa siasa ni kitu kingine na kushinda ni kitu kingine.
Hii miaka mitano walioko nje. Wajitafakari upya.. inatosha kabisa kujipanga kuja kivingine.
Wachukue ushauri na this time waache ubishi
Licha ya compromise, upinzani umejipangaje ku counter hilo tatizo?Mashabiki wa Yanga na Simba ni mahili sana kuwakosoa wachezaji wa timu zao wachezapo uwanjani. Lakini ukimwambia huyo mkosoaji aingie kucheza kwa kutumia ushauri huo hawezi kuleta ufanisi wowote. Tanzania ya Magufuli kila Mhimili Ume- Compromise! Ili uwe salama lazima uunge Juhudi. Miaka 5 ya Magufuli tumeaminishwa kuwa kukosoa ni kumkwamisha mheshimiwa astuletee Maendeleo! Bunge limelazimika kutunga sheria kandamizi dhidi ya Democrasia ya vyama vingi.
Wajumbe au majizi ya CCM[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaonaje dozi mnazopokea huko toka kwa wajumbe?
Je Uchaguzi huu ingekuwa Huru na Haki, ungetegea Matokeo haya? Comment zako hizi ni Unafiki tu, kwani badala ya kuilaumu Tume ya Uchaguzi iliyouharibu Uchaguzi! Unawalaumu viongozi wa CHADEMA ambao walitoa angalizo juu ya tume kuharibu Uchaguzi.1. Serikali ilizuia mikutano ya hadhara na kutoa maelekezo ni namna gani vyama vijengwe kwa vikao vya ndani. Kila kanda, mikoa, wilaya, kata, mitaa na vitongojini kuna viongozi. Wale wangeweza kufanya mambo makubwa sana. Lakini itikadi ya kuhodhi madaraka, kudharauliana ndiko kunatufikisha hapa...
Hapo juu kuna comment nimeelezea juu ya Magufuli kuzuia kibabe shughuli za kisiasa. Kufuatia Ubabe huo viongozi wa CHADEMA kila sehemu walijikuta wakiitumia miaka 5 mahakamani kujitetea kuepuka vifungo jela kwa makosa ya shughuli halali za kisiasa.Licha ya compromise, upinzani umejipangaje ku counter hilo tatizo?
kuna possibility hata akiondoka madarakani. Wengine wakija wata operate kwenye thr same foundation aliyo anzisha magufuli.
Lazima waje na strategy ya ku block or ku force gov wa roll back hizo sheria kandamizi.
Otherswise uchaguzi utandelea kuwa nothing but smoke screen.
Binafsi naogopa sana kwa yanayokwenda kutokea, nakionea huruma sana kizazi chetu. God have a mercy with Tanzania!Mimi nadhani tunaenda kushuhudia bunge dhaifu katika historia yetu, ikiwa ni kweli kura ziliibiwa na kupewa ubunge kama zawadi hii ina maana moja tu kubwa, wakiwa ndani ya bunge watapitisha lolote la serikali sababu wewe uko hapo kwa fadhila ya chama tu wala sio nguvu zako. uchaguzi umeisha ila mustakbali wa nchi kuna mashaka mengi.
Mungu ana mambo mengi ya kufanya, kuna haki zingine hazipatikani kwa maombi!God have a mercy with Tanzania!