Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Nimepita kigamboni nikakuta kambi ya mwana wa mfalme wanaangua vilio utadhani kuna msiba

Inabidi ajifanyie tathmini. Huwezi kuchukiwa katika kila kona ya nchi. Kesho yake itakuwaje baada ya hizi teuzi kukoma! Ataweza kukatiza mitaani akiwa huru kama wananchi wengine?
 
Kuwarudisha hao wachawi kwenye upinzani ni hatari kuliko corona
Waliounga mkono juhudi pole zao, wamebaki na sifa moja tu mbele ya umma wa Watanzania; "Walikubali kuwa wasaliti na hata kutumika kwa manufaa ya chama tawala". Huku ndiko kuisoma namba.

Wasiwe na aibu ya kurudi nyumbani kama wana wapotevu. Ni heri sasa wakarudi zizini huku pembe na mikia yao zikiwa zimekatwa.
 
Hahaaaa nawsalimuuuu
IMG-20200720-WA0012.jpg


JESUS IS LORD[emoji120]
 
Uchaguzi huru ndani ya chama 2020

Breaking News !


Dr. Faustine Engelbert Ndugulile ashinda kura za maoni za ndani ya chama cha CCM jimbo la Kigamboni jijini Dar es Sakaam.

Kura za maoni za wajumbe halali zilikuwa 399 hakuna kura iliyoharibika na Dr. Faustine Engelbert Ndugulile amefanikiwa kupata kura 190 za wajumbe hao wa mkutano wa wilaya ya Kigamboni..

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na kutumbuliwa kwa kilichoitwa 'tamaa' isiyokubalika ndani ya CCM Mpya Bw. Paul Christian Makonda amepata kura 122.
 
Ndio maana Nyerere alisema Cheo ni dhamana ya kuwatumikia watu na sio kuwadharau na kuwatishia maisha kama alivyofanya bashiteee
Inabidi ajifanyie tathmini. Huwezi kuchukiwa katika kila kona ya nchi. Kesho yake itakuwaje baada ya hizi tetuzi kukoma! Ataweza kukatiza mitaani akiwa huru kama wananchi wengine?
 
Back
Top Bottom