Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera wera
Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Hivi Jerry Slaa ameamua kukaa kando hadi Magu asepe?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao ,Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee ,anaemfatia ana kura kumi na mbili .

Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68,hii si nzuri kwake .
Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.

Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi.
Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa ,baadae msije kujikuta mnasonya
Mpe Makonda moyo. Lakini Makonda sio mgeni, alikuwa Rc hapo Dar. Na Kigamboni ni eneo ndani ya Dar.. Kwa maneno nafupi ni kwamba Makonda hakuwa ana kubalika kama Rc Dar
Ushindi ni ushindi hata kura moja ni ushindi..
 
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao ,Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee ,anaemfatia ana kura kumi na mbili .

Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68,hii si nzuri kwake .
Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.

Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi.
Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa ,baadae msije kujikuta mnasonya

Nje ya kubebwa Hawa Hakuna watakachoweza shinda
 
Dhambi ya usaliti
Screenshot_20200720-200232_Samsung%20Internet.jpg
 
Huyu jiwe atampa hata uenenzi polepole atapigwa chini very soon maana makona kwa kiherehere yupo vizuri
 
Back
Top Bottom