Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Unataka kusema Bashite ana nguvu za ziada? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni lazima atamteua Mkuu. Unless dikteta HAJIPENDI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni lazima atamteua Mkuu. Unless dikteta HAJIPENDI.
Nimekusamehe Mkuu. Kuwa na Amani tupo pamoja!
Ka Nassari kamevuna kalichopanda! Kalifikri miaka yote ile kalikuwa kanashinda kwa nguvu za kenyewe?Nassari nassari tulikuambia haukutaka kusikiaView attachment 1511945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaaaaa tena wa kienyeji sio broilers[emoji1787][emoji1787] Kila mtanzania ale kuku mmoja
Hivi Jerry Slaa ameamua kukaa kando hadi Magu asepe?
Magufuli hawezi kumtosa Makonda, kuhusu tofauti ya kura ni kubwa sana, hata kama ingekuwa moja, Ndugulile anastahili kupewa hiyo nafasi.
Ila nikikumbuka Magufuli alivyomponda Ndugulile wakati akimtumbua u Naibu Waziri wa Afya, kuwa hospitali zake hazina dawa pamoja na cheo chake, bora Ndugulile asubiri tu kupewa cheo kingine.
Kwani wewe ni ccm?Hata akimchagua poa cha msingi tumemuonyesha kuwa hatumpendi
Atalindwa na mzeeRisasi alizosimamia kumuua Tundu Lissu sasa zinamsubiri maana hana ulinzi. Manina
Ccm ni kama maji usipoyanywa utaoga
Kwahiyo kigamboni mmeshashinda chadema?
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Twende tyuuh yaanTwende babe