Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Abdala mtolea na mwingine ameangukia pua huko arumeru west kijana nasari joshua. Yaani wasaliti wote watakiona cha moto. Siku zao zinahesabika kwenye ulimwengu wa siasaNani huyo?
Uyo Gambo aandae dawa za kutuliza maumivuBado gambo na sendeka
Unataka kusema Bashite ana nguvu za ziada? [emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaaaaaaah atakoma na kilanga ngeeeh cha ngeda,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi anarembua khaaaaaahDhambi ya usalitiView attachment 1511975
Hii ni kweli kabisaAngalia tu jina Prof Joyce Lazaro Ndalichako.
Hicho tu kinampunguzia kura Kigoma Ujiji.
Ujiji panamfaa Zitto Zuberi na Abdul Nondo
Dhambi ya usalitiView attachment 1511975
Ila ujumbe kaupata kwamba hapendwii hata kdg
Ndio kusema una utani na Mtolea na Mtulia?Nauliza tu kwa wale wataalamu wa sayansi ya siasa kwamba hawa wahamiaji waliotoka CHADEMA kwenda CCM walitumia mbinu gani wakati wa uchaguzi mdogo hadi wakawagaragaza vibaya washindani wao kutoka CCM?
Maendeleo hayana vyama!
Ahsante mkuu,Check live youtube wanatangaza muda huu.
Kura 68 siyo nyingi kwenye kura ngapi?tuanzie hapoUkitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Sijawahi kumjua wala kumsikia huyo Engineer.. Na unavyosema hawawezi thubutu kumkata ni hizo kura 9 za ziada??Ndugu unamjua Koola?
Huyo Engineer ni mwamba kweli kweli huko CCM Vunjo. Kuna watu wengi huko Uchagani wameshangaa kumuona Kimei ameweza kuleta huo ushindani.
Nina uhakika CCM hawataweza kumkata Koola, hata iweje. Kama Magufuli anampenda sana Kimei ili ampe waziri, basi atasubiri kuja kumteua kwa ubunge wa viti maalum ikiwa Magufuli atautwaa tena urais.
Lakini fahamu tu hili, hakuna mchaga atayevuna uwaziri chini ya utawala huu wa Magufuli, sembuse uwaziri wa Fedha.
Huyo mdau yuko sahihi hata asipokujibukuna mdau anadai sababu ya Ndalichako kukimbilia Kasulu eti kuna wazee wa Kiislamu ujiji ndio wamemfanya akimbilie Kasulu , ndio nikamuuliza aniambie kwa lipi hao wazee wawe na nguvu za kumkimbiza Prof Ndalichako