Unasahau kwamba na huyohuyo Makonda alikuwa mkuu wa mkoa Kigamboni ikiwemo ndani. HakubalikiUkitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Sema tu wazi apewe bwana hako makondaNdugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .
Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Napata tabu kuelewa achodai maana Peter Serukamba(mkristo) amewashinda waislamu wawili 2005 na 2010, sasa ebu tuambie hao wazee wa kiislamu wa ujiji walikuwa wapi ?Huyo mdau yuko sahihi hata asipokujibu
UJIJI acha paitwe ujiji tu
Asipopitishwa atasubir uteuzimimi nasubiri kwa Lijuakali kilombero...ccm wasipompitisha watalaaniwa
Alitangaza mapema sana mbonaIvi Shigongo alikuwa kagombea kumbe?
Makonda unaendeleaje hapo ulipo
Mwenyekiti kasema kama angemka basi angemteua hata kipind yupo mkuu wa mkoaMAKONDA rasmi viti maalum, na uwaziri mambo ya ndani
Lakini mkuu uelewe kuwa kila siku siyo juma3!Mnaosema hivi mnajisahau nn kama haya matokeo ya mwanzo ni geresha maana kamat kuu inaweza kumchagua hata wa pili kugombea usije shangaa jamaa asirudi kupika kwenye meli ya wagiriki akateuliwa yeye wa pili kugombea ubunge
Jimbo la Buchosa Mkoani mwanza
Dr Charles Tibeza 354
Erick Shigongo 354
Hahahahaha lol! Nguvu za MAHIPS Mkuu. Ngoja tusubiri tuone hii miezi mitatu au minne hatma ya bashite.
Wanasiasa wengi tu sampuli yake....hata interview za kazi hawawezi kupita.Makonda bila kubebwa na jiwe hata kazi ya kuosha mbwa hapati!
Mfano wapiga kura ni 200 alafu unamzidi mtu kura 30.utasema Kwa kura chache?Angalia Makamba alivyobabua,ndio utajua namaanisha nini