Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .

Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.

Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Unasahau kwamba na huyohuyo Makonda alikuwa mkuu wa mkoa Kigamboni ikiwemo ndani. Hakubaliki
 
Hata kama atapitishwa na mzee baba kwa figisu lakini akae ajue Hapendwi kama anavyodhani na ni aibu kwake unaacha ukuu wa mkoa unaimbilia ubunge
 
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Sema tu wazi apewe bwana hako makonda
 
Acha tushangilie kwa sasa, hayo ya Kamati kuu hayatuhusu kwa sasa, [emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482][emoji482] cheers kwa wana Jf wote
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .

Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.

Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
 
Huyo mdau yuko sahihi hata asipokujibu

UJIJI acha paitwe ujiji tu
Napata tabu kuelewa achodai maana Peter Serukamba(mkristo) amewashinda waislamu wawili 2005 na 2010, sasa ebu tuambie hao wazee wa kiislamu wa ujiji walikuwa wapi ?
 
Mnaosema hivi mnajisahau nn kama haya matokeo ya mwanzo ni geresha maana kamat kuu inaweza kumchagua hata wa pili kugombea usije shangaa jamaa asirudi kupika kwenye meli ya wagiriki akateuliwa yeye wa pili kugombea ubunge
Lakini mkuu uelewe kuwa kila siku siyo juma3!

Kauli ya Magufuli aliyoitoa leo alipokuwa akiwaapisha wateule wake huenda ikaleta mabadiliko makubwa na ya haki kwa washindi halali, sidhani hiyo pindua pindua ya matokeo itakuwepo ama itapata nafasi tena kwa mwaka huu.

Ninavyohisi kila aliyepita kihakali ndiye atakayepitishwa kugombea ubunge eneo husika.

Wakati na muda ndiyo utakaoongea, na tukae tusubiri.
 
Tatizo Kuna wabunge wa CCM nimewachoka Sana na hawajafanya kitu halaf ndo wanapita kiulaini dah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha lol! Nguvu za MAHIPS Mkuu. Ngoja tusubiri tuone hii miezi mitatu au minne hatma ya bashite.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Au sio
Screenshot_20200720-201313.jpg
 
Makonda bila kubebwa na jiwe hata kazi ya kuosha mbwa hapati!
Wanasiasa wengi tu sampuli yake....hata interview za kazi hawawezi kupita.

Ukija kwenye biashara ndiyo kabisa chalii.

Ila mwenyezi Mungu huwa anajua namna ya kufucha dhiki za watu.
 
Back
Top Bottom