Rhz4567
JF-Expert Member
- Mar 16, 2018
- 4,893
- 6,599
Tumbo Moto Moto mtapata shida Sana mwaka huuNdugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Bashite kalala chali mapema kabisa kabla ya mchezo