Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Ndugulile to hell with him huyu vita ya corona alitaka watanzania tufe hata angepata kura zote mimi ningempinga anaamini dawa za kizungu alimpinga hadi Magufu;i tusijifukizie wakati anajua hakuna tiba ya CORONA KAMATI ZA UTEUZI MPENI YEYOTE sio Ndugulile mimi napinga wazi nikiwa CCM damu I SAY NDUGULILE NO NO NO NO kAMANDA MZURI HUONEKANA KWENYE VITA MAGUFULI KAPIGANA VITA nzuri ya corona sio ndugulile .hwezi zawadia ubunge mtu aliyeshindwa kupigana vita napimga .Na CCM wa take note kuwa mimi nikiwa mmojawapo wa mpambanaji huria wa mitandaoni wa kujitolea mitandaoni wa CCM SIMTAKI NDUGULILE
Tumbo Moto Moto mtapata shida Sana mwaka huu
Bashite kalala chali mapema kabisa kabla ya mchezo
 
Kigamboni kaka yako kagongwa
Ni uchaguzi wa ndani wa sisiemu, hawajashinda chadema! Sijui unajua hilo....
Endelea kupigia vigeregere sisiemu ya jpm..
Vipi Gambo nae? Nasikia kashindwa...
Lema ajiandae sasa kuachia jimbo, asiyemoenda kaja.
 
Issue ni shule, we umesoma madrasa huko uje umuongeze nani 😟

Shukuruni saivi mnapelekwa angalau kidogo shule bado jinsia ke mnaikandamiza lakini waangalieni na wao
ni bora kukaa kimya kuliko ku comment kila ukionacho pasi na kujua chanzo chake. Itasaidia kuficha funza na ujinga ulionao.
Mjinga mwenzio alikuwa anasema wazee wa kiislam ndio wanaoamua nani aongoze kule kigoma mjini. Sasa ukiwa na akili timamu unaona kabisa ni upuuzi maana hao wazee wapo wangapi hadi wao wawashinde wapiga kura wote.? Yaani wote akili zao zimeshikwa na hao wazee wachache?
Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Arusha Mjini
Mrisho Gambo - 333
Philemon Mollel - 68
Albert Msando - 19


What a game,What a battle PALE LEMA HAPA GAMBO.
 
Sijawahi kumjua wala kumsikia huyo Engineer.. Na unavyosema hawawezi thubutu kumkata ni hizo kura 9 za ziada??

Anyway ngoja tuone..
Wewe, mimi na watu wengi sana tunamjua Kimei wa CRDB, hatumjui kimei wa kwenye siasa hususani siasa za CCM. Nadhani mimi na wewe tumejua Kimei ni mwanasiasa siku alipotangaza kuchukua fomu ya kugombea, kabla ya hapo tulikuwa hatujui kama ni mwanasiasa. Katika mazingira hayo, sio jambo rahisi sana kwake kutoboa wakati Engineer Koola amekuwa mwanaCCM wa Vunjo kwa muda mrefu sana, na alijaribu sana kuisaidia CCM kwenye uchaguzi wa 2015 ili ivuke salama Vunjo ikiwa ni mfuatiliaji wa siasa za Vunjo.
 
IMG-20200720-WA0056.jpg
IMG-20200720-WA0055.jpg
 
Ukweli ndo huo, Mkuu anaweza kutumia yaliyomkuta Makonda Kigamboni kujitathmini na kujirekebisha inapobidi Badala ya kutunga Sheria za Kutoshitakiwa..

Makonda ameadhibiwa na WanaCCM kwa Sababu yake..

Makonda alivyo Chukizo, Ndivyo naye alivyo..:Wala ASIJIDANGANYE na ASIDANGANYWE

Katika Uchaguzi Huru na wa Haki, anachakazwa na Lissu mpaka ataita maji mmaa

Hapendwi Kihivo
Subiri Ifike 2023/2024

He will be Ignored mchana kweupe, Kwani yeye nani bana!

Nafikiri alikuwa anajua atashiriki akiwa bado ni mkuu wa mkoa na ana ile kamati nzito nyuma yake. JPM, si mtu mwongo wala wa mchezo mchezo. Amemuelewesha PM. Na sasa huko aliko lazima anajililia na wapambe wake
 
Ukitathimni matokeo ya uchaguzi wa jimbo la kigamboni ,Nzega mjini,Mtama utaona wakongwe waliotetea majimbo yao , Bashe na Nape Nauye wamewaacha mbali sana wapinzani wao ,mfano Nape anakura Mia nne na ushee anayemfatia Ana kura miambili na Bashe kapiga kura miatatu na ushee, anaemfatia ana kura kumi na mbili .

Kwa kigamboni Ndugulile alitakiwa amuaache mbali sana Makonda ,kwa sababu ni mbunge jimbo hilo kwa miaka 10,halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.


Safari ndio imeanza kuhusu hili jimbo la kigamboni,wagombea wakapitishwe kwenye kamati ya wilaya ya siasa ,kamati ya mkoa ya siasa kisha yapelekwe Dodoma kwa wazee cardinal rule ndio jina lirudi. Wale mnaompinga Makonda msishangilie kwa sasa, baadae msije kujikuta mnasonya
Pole sana. Mrudishie zile ambazo bado unazo mkononi tofauti na hivyo atakufanya vibaya
 
halafu anatofautiana na mgeni kwa kura 68, hii si nzuri kwake. Kama ilivyoada kwa ccm kuongoza kura za maoni sio tiketi ya jina kurudi.
Naona mnajificha kwenye kichaka hiki, basi kura za maoni hazina maana
 
Mechi bado ipo "half time".
bado kabisa mkuu, nashangaa watu wanamcheka Paul Makonda, bado ana nafasi kubwa sana, pia hata wale wasiotegemewa wanaweza kupita ...kamati ya watu wazito itaamua pia itategemeaChairman kaamkaje siku hio .[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom