Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Atakimbilia USA kwa mapumziko ta siku 365 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bashite tupa kuleeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakimbilia USA kwa mapumziko ta siku 365 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bashite tupa kuleeeee
20 Julai 2020
Tunduma, Songwe
Tanzania
SILINDE KAWAPIGIA MAGOTI CCM KASEMA HAYA KWA WAJUMBE WA CCM JIMBO LA TUNDUMA ,NITUMENI NIKAWATUMIKIE
Source : MbeyaYetuOnlineTV
Wana Dar es Salam muwe makini na huyu jamaa kwasasa hana kazi yeyote.Isije mkasema sijawakumbusha wekeni vitu vyenu vizuri.Anaweza akajiajili kwenye kazi hatarishi ilimradi mkono uende kinywani.BADO MAKONDA NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Makonda anayohaja ya kuwashukuru sana watu wa kigamboni. Kwa kweli matokeo aliyoyapata kwake ni kama ushindi kutokana na kuwa, mpinzani wake alikuwa anatetea ubingwa.
Tofauti ya kura 68 ni ndogo sana.
Ukiangalia matokeo katika maeneo mengine utaona watu wakiachwa kwa mamia ya kura, wengine wakiadhibiwa kwa kushindwa kufikisha kura kumi tuu.
Makonda bado ni mshindi, na unapaswa umshukuru Mungu na watu wa kigamboni kwa kura ulizopata.
Naamini utaibuka kidedea huko mbeleni. Kila la kheri.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
acha hizoBADO MAKONDA NI MSHINDI

Atakimbilia USA kwa mapumziko ta siku 365 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Penalty tano tanoHapo itakuwaje sasa?
Safi sana kama Nzwalile kapigwa, mjinga huyu alikuwaga CHADEMA akatoka kwa madharau sasa tuone ajipange tena kwa miaka mingine mitano ya hamna! Kazi kwa kijana wetu Pambalu ashindwe kunyakua jimbo! Nyamagana huwa hairudishi mbunge mara mbili ingawa 2015 Wenje alitaka kuvunja rekodi kama asingedhulumiwa na Mkapa!Nyamagana
Stanslaus Mabula=319
John Nzwalile =54
Bona Kamoli kashinda!Vip segerea?
Wale maboya waliohama chadema na kwenda CCM nani amepita. Tena yule aliyejiita mtoto wa mjini.
BADO MAKONDA NI MSHINDI
Na, Robert Heriel
Makonda anayohaja ya kuwashukuru sana watu wa kigamboni. Kwa kweli matokeo aliyoyapata kwake ni kama ushindi kutokana na kuwa, mpinzani wake alikuwa anatetea ubingwa.
Tofauti ya kura 68 ni ndogo sana.
Ukiangalia matokeo katika maeneo mengine utaona watu wakiachwa kwa mamia ya kura, wengine wakiadhibiwa kwa kushindwa kufikisha kura kumi tuu.
Makonda bado ni mshindi, na unapaswa umshukuru Mungu na watu wa kigamboni kwa kura ulizopata.
Naamini utaibuka kidedea huko mbeleni. Kila la kheri.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Khaaaaaaaaaah huyu mbna anawapigia magoti wajukuu zake, kwan vipi?Aisee Ukisha ingia ccm sijui unapatwa na ugonjwa gani wa akili.
Muone na huyu anawapigia magoti watoto wadogo kisa kuomba kura. View attachment 1512080
Pole yake [emoji16]Labda akisikia Pompeo kastaafu lkn kwa sasa labda akimbilie koromomije