Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana kama Nzwalile kapigwa, mjinga huyu alikuwaga CHADEMA akatoka kwa madharau sasa tuone ajipange tena kwa miaka mingine mitano ya hamna! Kazi kwa kijana wetu Pambalu ashindwe kunyakua jimbo! Nyamagana huwa hairudishi mbunge mara mbili ingawa 2015 Wenje alitaka kuvunja rekodi kama asingedhulumiwa na Mkapa!
Khaaaaaaaaaah huyu mbna anawapigia magoti wajukuu zake, kwan vipi?
Akwende zake huko, jamaa ni mkabila aliifanya CRDB kuwa ya Wachagga tupu. Hovyo kabisa!Busara itumike Jimbo la Vunjo, Kimei arudi
Aporudi akienda upinzani atamchanachana mpinzani wake vibaya sana
Arusha Mjini Gambo kapitaaaaaaaahKANGI LUGOLA VIPI
NA MONDULI NANI KAPITA JAMAN
ARUSHAMJINI
Keshabanikwa msalabaniWakuu Gwajima vipi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeeeeeh aibu naona mieeehAshaingiwa kiwewe na akili zake kesha zikabidhi kwa chakubanga
Ni wazi hata MaCCM hayakupendezwa kabisaaaaa na biashara ya kununua Wabunge wa upinzani. Waliojiuza wengi hadi sasa wamepigwa chini. Wengine wamepata kura nusu ya umri wao. Ni wakati sahihi, hata kwenye teuzi hizo wasipate, watakula walipopeleka mboga.Makonda wako katumia milioni 300 na kapigwa chini ...Mwizi
Ni wazi hata MaCCM hayakupendezwa kabisaaaaa na biashara ya kununua Wabunge wa upinzani. Waliojiuza wengi hadi sasa wamepigwa chini. Wengine wamepata kura nusu ya umri wao. Ni wakati sahihi, hata kwenye teuzi hizo wasipate, watakula walipopeleka mboga.