Wana Dar es Salam muwe makini na huyu jamaa kwasasa hana kazi yeyote.Isije mkasema sijawakumbusha wekeni vitu vyenu vizuri.Anaweza akajiajili kwenye kazi hatarishi ilimradi mkono uende kinywani.
 
20 Julai 2020
Tunduma, Tanzania

Mwl. MTINDYA: Wajumbe CCM Nipo Tyari Kuwatumikia "Wapinzani Hawana Chao Jimbo la TUNDUMA


Source : Jay TV
 
Wale maboya waliohama chadema na kwenda CCM nani amepita. Tena yule aliyejiita mtoto wa mjini.
 
acha hizo
 
Nyamagana
Stanslaus Mabula=319
John Nzwalile =54
Safi sana kama Nzwalile kapigwa, mjinga huyu alikuwaga CHADEMA akatoka kwa madharau sasa tuone ajipange tena kwa miaka mingine mitano ya hamna! Kazi kwa kijana wetu Pambalu ashindwe kunyakua jimbo! Nyamagana huwa hairudishi mbunge mara mbili ingawa 2015 Wenje alitaka kuvunja rekodi kama asingedhulumiwa na Mkapa!
 
Nafikiri agizo la uwazi wa kuhesabu kura NEC haliwahusu, nasubiri agizo la kuwaagiza NEC nao wahesabu kura kwa uwazi.
 
Makonda hakufanya reseach vizuri. angeweza kugombea Kibamba au Ukonga ambako kulikuwa na nafasi kubwa zaidi ya kushinda kuliko kwenda kupimana ubavu na Mbunge anayemaliza muda wake huku akiwa bado anakubalika na wana ccm wenzake.

Halafu, alichokifanya siyo afya kwa chama.
 
Acha ukichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…