KANGI LUGOLA VIPI

NA MONDULI NANI KAPITA JAMAN

ARUSHAMJINI
 
Mungu atamsimamia kijana wetu ataibuka mshindi
 
Makonda wako katumia milioni 300 na kapigwa chini ...Mwizi
Ni wazi hata MaCCM hayakupendezwa kabisaaaaa na biashara ya kununua Wabunge wa upinzani. Waliojiuza wengi hadi sasa wamepigwa chini. Wengine wamepata kura nusu ya umri wao. Ni wakati sahihi, hata kwenye teuzi hizo wasipate, watakula walipopeleka mboga.
 
Kama ni mjumbe wa Halmashauri kuu ya jimbo anaruhusiwa kupiga, lakini wagombea wengi ni wanachama waliookoteza kadi mtaani na kupeleka milioni ya kuwezesha kampeni za chama.
 
20 Julai 2020
Mbeya, Tanzania

Dkt. Tulia Aongoza kwa 96% Kura za Maoni Mbeya Mjini
Kivumbi kuchanika nguo ndani ya ukumbi, wajumbe 885 wa CCM mkutano mkuu wa wilaya wapagawa na matumaini...

Dr. Tulia akiwa amekumbatia karatasi za kura 843 huku akitoa machozi, zilizomchagua ktk kura za maoni akimuwaza mgombea wa CHADEMA oktoba 2020

Source: MbeyaYetuOnlineTV
 
Watu tulisema sana kuwa hawa watumwa wanapewa pipi kipindi kifupi kabla ya uchaguzi mkuu, lkn kwenye uchaguzi mkuu lazima watipiwe virago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…