Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Silinde kaangukia pua.Wakuu David Silinde vipi huko
ChaliWakuu David Silinde vipi huko
piga chini huyo kawadhurumu wapiga kura wa jimbo la momba na CHADEMA sasa anataka kuwaingiza chaka jimbo la Tunduma, halafu aulizwe pesa ya kujenga miradi ya CCM kutoka mfukoni mwake kaitoa wapi?.Nasubiri kwa hamu matokeo ya huyu mbwiga.
Wamepigwa chiniUpdates za Lijuakali wakuu tupeni pamoja na David Lusinde
Wote hao wameangukia pua.Updates za Lijuakali wakuu tupeni pamoja na David Lusinde
HahahahaAtawashangaza Kama ilivyo kwa Mhe. Dr. Gambo
Msando kapata kura 19, rafiki yake Bananga alipata 22. Watajibu nini kwa walevi wenzao?????Arusha Mjini Gambo kapitaaaaaaaah
Lusinde amepita...hapa ndo siwaelewi wapiga kuraUpdates za Lijuakali wakuu tupeni pamoja na David Lusinde
Wote hao wameangukia pua.Updates za Lijuakali wakuu tupeni pamoja na David Lusinde
Hata mimi nahitaji kufahamu David silinde vipi?Wakuu David Silinde vipi huko
Mollel ameshinda sihaWote hao wameangukia pua.
Wasaliti wametemwa mazima.
Mpaka sasa hakuna aliyefurukuta.
David Silinde ameshinda?Lusinde amepita...hapa ndo siwaelewi wapiga kura
Safi sanaKyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
Yule mtoto wa chadema tamaa nyingiNimeona sehemu Katambi chali ila sina uhakika