Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Nasubiri kwa hamu matokeo ya huyu mbwiga.
piga chini huyo kawadhurumu wapiga kura wa jimbo la momba na CHADEMA sasa anataka kuwaingiza chaka jimbo la Tunduma, halafu aulizwe pesa ya kujenga miradi ya CCM kutoka mfukoni mwake kaitoa wapi?.
 

Attachments

  • IMG-20200720-WA0116.jpg
    IMG-20200720-WA0116.jpg
    59.7 KB · Views: 2
CCM siyo chama rafiki kwa wanyonge. Pamoja na muamko mkubwa uliooneshwa wanyonge ktk uchaguzi huu kuchukuwa fomu za kugombea ubunge, lkn hakuna hata mmoja ambaye ni mnyonge atapata nafasi ya kupitishwa.

Kwanini? Kura za maoni wengi wao wamepata sufuri kabisaa! Ndiyo kisema hata majina yao hayawezi kupelekwa kwa " "mzee wa mood" (a.k.a inategemea nimeamkaje).

Wenye nazo tu ndiyo wamejizolea kura nyingi karibu kila Jimbo.

Shauri zenu......!!!!
 
Back
Top Bottom