Mbeya hawataki ujingaKyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
Nasikia Mollel kapita.Wale maboya waliohama chadema na kwenda CCM nani amepita. Tena yule aliyejiita mtoto wa mjini.
Safi sana!!Kyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
Maselle atakuwa ajamuacha salama snitch yuleNimeona sehemu Katambi chali ila sina uhakika
Ongezea na hii, kuna mdau naye aliweka utetezi wake,Uchambuzi wako siyo sahihi hata kidogo. Unachotakiwa kufahamu ni kuwa Makonda ni alikuwa RC wa mkoa ambao Jimbo la Kigamboni limo. Yeye ni tofauti na wakuu wa mikoa wenzie wa mikoa mingine ambao walikuwa wakuu wa mikoa kwenye mikoa mingine, wakaenda kugombea mikoa mingine.
Makonda kushindwa kupata kura nyingi ndani ya mkoa aliokuwa akiuongoza kunaleta taswira kuwa wananchi wa Dar hawamtaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sanaaaaaa.Wana Kyela hawacheki na Nyani.Kyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
Kapigwa spanaWakuu David Silinde vipi huko