Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Ng'ombe mwingine mkatwa mkia kapigwa chini huko Arusha.
Msaliti Calidti Lazaro. Meya mnunuliwa ameambulia kura mbili.. Yaani leo nina raha kuwaonyesha hawa wasaliti kwamba hana umasrufu wowote bali Chadema ndicho chama kiliwapa umasrufu. Tukutane 2025
 
Name recognition ndio factor kubwa nimegundua.

Kiwango ambacho wamesikia jina lako kwenye jamii, hata kama ni kwa udaku.

Erick Shigongo anashindaje siasa za ubunge?

Namshangaa Amber Rutti hajagombea.
 
Mbona sisi tulio unga juhudi za mh shimiwa tumefanyiwa hujuma wakati tulihaidiwa kupita bila kupingwa😰😰
 
Back
Top Bottom