Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Ng'ombe mwingine mkatwa mkia kapigwa chini huko Arusha.
Msaliti Calidti Lazaro. Meya mnunuliwa ameambulia kura mbili.. Yaani leo nina raha kuwaonyesha hawa wasaliti kwamba hana umasrufu wowote bali Chadema ndicho chama kiliwapa umasrufu. Tukutane 2025
Duh haya masalia mwaka huu yatanyooka bado Likuakali tupeni updates