Uchaguzi 2020 Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Uchambuzi wako siyo sahihi hata kidogo. Unachotakiwa kufahamu ni kuwa Makonda ni alikuwa RC wa mkoa ambao Jimbo la Kigamboni limo. Yeye ni tofauti na wakuu wa mikoa wenzie wa mikoa mingine ambao walikuwa wakuu wa mikoa kwenye mikoa mingine, wakaenda kugombea mikoa mingine.

Makonda kushindwa kupata kura nyingi ndani ya mkoa aliokuwa akiuongoza kunaleta taswira kuwa wananchi wa Dar hawamtaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea na hii, kuna mdau naye aliweka utetezi wake,

Magufuli alitarajia Ndugulile ajipendelee kwake ili aje amtumbue kwa kejeli kuwa ni mbinafsi.

Jamaa amekuwa muungwana sana, hizo changamoto zipo nchi nzima,labda rais aseme alitoa hizo dawa lakini jamaa akawa anazibania.

Kisa yeye amepeleka kila kitu chato anadhani viongozi wote wanaubinafsi kama wake.

Vyeo ni dhamana,mtende kwa wema kwa watu wote.

Kuhusu yeye kuwepo hapo miaka 10,sio hoja hata makonda naye amewepo hapo dar kwa muda wa kutosha tena akifanya siasa za fitina.

Lakini sisi wajumbe tumesimama kidete.
 
Mkoa wa Njombe Jimbo la Lupembe
Jimbo la Lupembe
Idadi-421
Matokeo-0
Wille0
Chitenga0
Hongoli-0
Baraka0
Batromeo1
Ungenge2
Malekela2
Beatrice3
Nyato4
Abel 4
Alatanga6
Kinyunyu7
Chedi-10
Njawike20
Mwenda24
Mbuna47
Joram Hongoli61
Mgata92
Sware-138

NB.
Joram Hongoli ni Mbunge aliyemaliza muda wake.
Edwin Enosy Swale Ni kijana aliyekuwa mgombea wa CHADEMA 2015.
 
Sidhani kama ni wenye nazo tu ndio wanaopita, mbona nasikia mwenye vyote ameshika nafasi zinazofuata kule, yeye pia mnyonge?
 
Watanzania hapa ndo akili iwajie kuwa Hakuna chama kitachotoa nafasi kwa vijana kugombea ubunge na udiwani kwa wingi kama vyama vya upinzan hasa Chadema na ACT.

Hebu fikiria watu kama Msigwa, Zitto, Lema, wote hawa bila upinzan ni nan angeweza kuwajua? Kuanzia sasa naona tutaheshimiana mambo ya kusaliti vyama vinavyokujua na kukulea hiyo tabia ya kijafidhina itafika mwisho.
 
Back
Top Bottom