Ni vizuri mno kuona Makonda akipigwa chini na pia Joshua Nassari msaliti wa CDM naye kapigwa chini mbaya kabisa huko Arumeru Mashariki basi hawa wakae kwa adabu zao vijijini.
 
Nimeona baadhi ya wagombea wakipata kura 0 mfano Kiagmboni walikuwa wengi?
Swali je wwagombea hawapigi kura?
Na kama wanapiga basi huenda mtu aliwapa watu wakagombee ili wampigie kura na ndiyo maana hawakujipigia. Nimewaza tu
Hiyo ndiyo miujiza ya ccm ya mwenyekiti kupata 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…