Saafi sanaaa...Kyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo
Acha apotee.Yule mtoto wa chadema tamaa nyingi
Atapotea yule
Ndio kashindaKwani Molel mambo safi?
Ndiyo ila kamzidi Mwanri kura moja tu. Molel kapata 148. Mwanri kapata 147.Kwani Molel mambo safi?
Mollel kapenya kwa kura mojaWote hao wameangukia pua.
Wasaliti wametemwa mazima.
Mpaka sasa hakuna aliyefurukuta.
Mwanri kilichomuangusha ni tamaa effectsNdiyo ila kamzidi Mwanri kura moja tu. Molel kapata 148. Mwanri kapata 147.
Hapana aliyepita ni injiniaNasikia Mollel kapita.
Ulitka apate ngapi mkuu? CCM Chama chenye nidhamuHiyo ndiyo miujiza ya ccm ya mwenyekiti kupata 100%.
Sema kakalia itapendezaNasari kapigwa chini
Jmn chunyaa vipiKyela mzee mwakyembe kaanguka kapita Ally kinanasi 493 Hunter 283 mwakyembe 245 hayo ndooo matokeo