Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Ng'ombe mwingine mkatwa mkia kapigwa chini huko Arusha.
Msaliti Calidti Lazaro. Meya mnunuliwa ameambulia kura mbili.. Yaani leo nina raha kuwaonyesha hawa wasaliti kwamba hana umasrufu wowote bali Chadema ndicho chama kiliwapa umasrufu. Tukutane 2025
Aisee maisha ya siasa ni hovyo mnoPicha inajielezaView attachment 1512106
Phd 3 zimefeli
Yes kuna updates nimeziona ngoja nizitafute hope sijakoseaDavid Silinde ameshinda?
Mollel kapenya kwa kura moja
vyemaNasari, Calisti Lazaro, wamesha onja mbivu za usaliti
Hapiti popote,na Gambo atapigwa chini vzr tu!Hahahaha
hawa wachaga hawajielewi huyu molel alistahili kupigwa chini kama.wasaliti wengineMwanri kilichomuangusha ni tamaa effects
Mwakyembe hakubaliki KyelaAisee maisha ya siasa ni hovyo mno
Angalia vizuri kura zakoKapigwa chin Mollel tena saa 2 asubuhi
na 2020 ndio hii imefikaWenye CCM yao.
Ilikua ningum sana hawa watu kutoboa.
Tulisema umu, mwisho wa hawa waloongwa pesa nakununuliwa ni 2020
Wajinga na waoga wengi hupenda kujificha ccm.Ulitka apate ngapi mkuu? CCM Chama chenye nidhamu