Bila shaka ungewauliza tume ya uchaguzi, NEC kwa sababu taratibu za CCM na NEC ni vitu viwili tofauti.

Umechapia mkuu, Uchaguzi wa Serikali za Mitaa si majukumu ya NEC. Uchaguzi wa namna hiyo uko chini ya Tamisemi! Aulizwe Jafo!!
 
Kyela je?
 
Msando kapata kura 19, rafiki yake Bananga alipata 22. Watajibu nini kwa walevi wenzao?????

Waliwadanganya wanakubalika sana.

Yajayo yanahuzunisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh zao sanaaaaaaaah
 
20 Jul 2020
Kyela, Mbeya
Tanzania

KURA ZA MAONI CCM KYELA:Wagombea Wamechangamka, Wajumbe Pressure Juu.


Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kyela Lucas Nyanda, akiwahutubia Wajumbe wa Mkutano wa Kura za Maoni za Ubunge CCM wilayani humo. Tupo Ukumbini. Tutaendelea kukuletea mambo yanavyokwenda

Source : Busokelo online TV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…